Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Naona umetufwata mpaka huku. 🤣🤣Ninyi mazezeta si mlisema mnaanza na mapinduzi?
Hivi kumbe mlikuwa mnamaanisha mapinduzi balama.
Usitukane mamba bro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umetufwata mpaka huku. 🤣🤣Ninyi mazezeta si mlisema mnaanza na mapinduzi?
Hivi kumbe mlikuwa mnamaanisha mapinduzi balama.
Wametoka kw penalt 9-8
Lile zeru zeru liliwandanganya wakajaaaa mamaeeeNinyi mazezeta si mlisema mnaanza na mapinduzi?
Hivi kumbe mlikuwa mnamaanisha mapinduzi balama.
Hakuna kupambana. Coach abebeshwe msalabaWananchi tusivunjike moyo, mpira ndo ulivyo leo bahati haikuwa kwetu tusimlaumu sana kocha wachezaji wamepambana penalty hazina mwenyewe
Yanga daima mbele nyuma mwiko
Mwanauto mwenzangu.Poor tactic, poor choice of starting lineup...poor everything. Sack Kaze
Mwanauto mwenzangu.
Tufukuze msaidizi kocha kisa Ndondo?
Haikubaliki.
Kaze analeta matabaka kwa wachezaji, yeye saido ndio chaguo lake kwenye kila first eleven yakeIshu sio hadhi ya mashindano
Ishu ni kocha msaidizi hakubaliana na falsafa ya kocha mkuu na hii inatengeneza mkanganyiko.
Fei anachezeshwa second striker, yeye kamrudisha namba 8.
Naweza kutoa mifano zaidi
Kocha gani?Hakuna kupambana. Coach abebeshwe msalaba
Ukiacha pre season, mechi kama hizi ndio za kujaribu mifumo na wachezaji.Kocha gani?
Nabi au kaze?
Kwa hiyo na leo tulikuwa tunawajaribu wachezaji?Ukiacha pre season, mechi kama hizi ndio za kujaribu mifumo na wachezaji.
Lakini tupotaka tukaze tuu mpaka wachezaji wasiopata namba waendelee kusugua benchi naona sio sawa.
Ukizingatia mechi yenyewe tumetolewa kwa matuta.
Tungefungwa ndani dakika 90 si bakora zingetembea?
Kufungwa kunaumiza na hasa mtani wako akiwa anafanya vizuri lakini sijaona sababu ya kureact namna hiyo.
Nakubali sana mwamba kiu yetu kubwa ni kombe la ligi kuu... Hapo tisifanye masikhara kabisa aiseeWananchi tusivunjike moyo, mpira ndo ulivyo leo bahati haikuwa kwetu tusimlaumu sana kocha wachezaji wamepambana penalty hazina mwenyewe
Yanga daima mbele nyuma mwiko
Kaze ni kocha wa daraja la chini sana...Ukiacha pre season, mechi kama hizi ndio za kujaribu mifumo na wachezaji.
Lakini tupotaka tukaze tuu mpaka wachezaji wasiopata namba waendelee kusugua benchi naona sio sawa.
Ukizingatia mechi yenyewe tumetolewa kwa matuta.
Tungefungwa ndani dakika 90 si bakora zingetembea?
Kufungwa kunaumiza na hasa mtani wako akiwa anafanya vizuri lakini sijaona sababu ya kureact namna hiyo.
Makocha wa burundi wanachojua nikuchonga mdomo tu