Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ila Kumuacha Mukoko Aende Zake Kipindi Hiki Sio Fair Kabisa Kwa Yanga Kitu Wamefanya Kwa Jinsi Mwamba Alivyopambana Na Kuipenda Yanga ilibidi Huu Ubingwa Ashuhudie Yule Jamaa...Yani Usajili Wa Chama Ndo Umewakurupua Kukubali Dili Ya Namna Hii Ya Kumchukua Huyo Chico Akati Mawinga Tunao Wengi Mpk Akina Balama, Yusuph Athuman Hawachezi Yani Kwasababu Ya Huyu Chama Ambaye Tumechz Naye Mara Nyingi Na Hajawahi Kutudhuru Ukiacha ile Mechi Ya Mchongo Ya Azam Federation Cup...Na Mara Zote Izo Alikuwa Anapotea Na Kufichwa Na Kijana Wa Kizanzibar Fei Toto...Daah Kusema Ukweli Wa Moyoni Mwangu Nimeumia Kuondoka Kwa Teacher Mukoko Katika Kipindi Hiki.
Sio kwamba Yanga hawampendi Mukoko, Au wamemdharau. Kumbuka alibakisha miezi SITA kwenye mkataba. Halafu namba yake kwa kikosi hiki hawezi kupata. Katikati Kuna Bangala, Aucho, Fei hapo bado Mauya na wengineo. Inamaana Mukoko angeozea benchi. Bora aende huko akacheze. Atacheza hata timu ya taifa. Mukoko sio mchezaji wa benchi. Pia tukibeba ubingwa, medali atapelekewa. Na atakuwepo katika listi ya wachezaji wetu waliobeba ubingwa nasi
 
TANGAZO! TANGAZO!
TAFADHALI USIKUBALI KUMUONA SHABIKI WA SIMBA YUKO PEKE YAKE NA UKAMUACHA, KWA KUFANYA HIVYO UTAKUWA UMETENDA KOSA LA JINAI! NI VEMA UKAMCHUKUA UENDE NAE KWAKO UKAKAE NAE KWA UANGALIZI WA KARIBU HUKU UKITOA MATANGAZO KWENYE VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI! EWEEE MTANZANIA JALI UHAI WA MWENZAKOO!![emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HISTORIA ISIYO SAHAULIKA.
mwaka 1972 katika pambano la watani wa jadi lililokuwa lifanyike katika uwanja wa taifa, watanzania walishuhudia kituko cha mwaka pale kilabu ya simba ya dar es salaam ilipoishia chang'ombe na kugeuza basi na kurudi katika mtaa wa msimbazi na kufanya timu ya yanga ya tanzania kupewa ushindi baada ya mpinzani kufyata mkia na kutokomea vichakani
[emoji1787][emoji1][emoji3][emoji16][emoji38][emoji12][emoji23][emoji848]

Kuna siku haya yatajirudia
 
Kosi la leo....
Hapa naona tutawaua hawa watoto sema zawadi mi simuelwagi kabisa.... Halafu hapo kwa mayele angeanza Crispin Ngushi nazani ingependeza zaidi... Wewe maoni yako ni yapi??
Screenshot_20220129-150503.jpg
 
KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI DHIDI YA MBAO. GO GO GOO WANANCHI.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Kosi la leo....
Hapa naona tutawaua hawa watoto sema zawadi mi simuelwagi kabisa.... Halafu hapo kwa mayele angeanza Crispin Ngushi nazani ingependeza zaidi... Wewe maoni yako ni yapi??View attachment 2099635
Nilijuaga ni mimi tu sijawahi muelewa huyu Zawadi kwa kweli.

Nadhani kocha ana target yake kumuanzisha Mayele Mkuu tumsubirie tuone.
 
HISTORIA ISIYO SAHAULIKA.
mwaka 1972 katika pambano la watani wa jadi lililokuwa lifanyike katika uwanja wa taifa, watanzania walishuhudia kituko cha mwaka pale kilabu ya simba ya dar es salaam ilipoishia chang'ombe na kugeuza basi na kurudi katika mtaa wa msimbazi na kufanya timu ya yanga ya tanzania kupewa ushindi baada ya mpinzani kufyata mkia na kutokomea vichakani
[emoji1787][emoji1][emoji3][emoji16][emoji38][emoji12][emoji23][emoji848]

Kuna siku haya yatajirudia
Hahahahaaaa. Tunapoelekea haliepukiki hilo lazima kuna siku watatokomea watu vichakani kwa mara ingine.
 
TANGAZO! TANGAZO!
TAFADHALI USIKUBALI KUMUONA SHABIKI WA SIMBA YUKO PEKE YAKE NA UKAMUACHA, KWA KUFANYA HIVYO UTAKUWA UMETENDA KOSA LA JINAI! NI VEMA UKAMCHUKUA UENDE NAE KWAKO UKAKAE NAE KWA UANGALIZI WA KARIBU HUKU UKITOA MATANGAZO KWENYE VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI! EWEEE MTANZANIA JALI UHAI WA MWENZAKOO!![emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣
 
Hivi mliwezaje kuvumilia miaka minne bila kombe..
Maswali mengine mtu anayouliza inaonesha umri wake ni kazaliwa juzi juzi tu. Wakati Yanga anachukua ubingwa mara nne mfululuzo ulikuwa bado kadogoo haukujua lolote kuhusu mpira wa miguu
 
Niombe radhi kijana..
 
Hivi mliwezaje kuvumilia miaka minne bila kombe..
Aiseee hata haielezeki ila tuliweza tu kama nyie mlivyoweza pale sisi tulipochukua mfululuzo.

Japo umenikumbusha mbali sana kuna mtu wangu wa karibu juzi naye ananiambia hivi mliwezaje mana ye roho inamuuma sana yaani hapo ni baada ya kupoteza kwa Kagera. 🤣🤣🤣
 
Hii hali inakosesha sana amani..ila ndio football.
 
Back
Top Bottom