Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mnanunua sana mechi utopolo dah,ila CAF hakuna timu ya kuhongwa hivyo kama kawaida yenu awali kabisa mnaenda mavumbini......

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kilichotokea Ni Muendelezo Tu Wa Errors Wanazofanya Waamuzi Wetu Kwenye Mechi Mbalimbali Za Ligi Msimu Huu Mfano Mechi Iyo Iyo Mchezaji Wa Ruvu Shooting Alishika Mpira Ndani Ya Box Refa Akajikausha Tu, Pia Ishu Ya Kukataliwa Goli Lao Kuwa Mfungaji Alikuwa Kwenye Offside Position Hata Sisi Yanga Ilitukuta Mechi Yetu Na Mbeya City Mayele Alinyimwa Goli Kwa Madai Kuwa Alikuwa Kwenye Offside Position Na Baada Ya Picha Za Marejeo Ikaonesha Alikuwa Onside...Kwaio Hakuna Mambo Ya Tigopesa Apo Ni Makosa Ambayo Yamekuwa Yakifanyika Na Waamuzi Wetu, Na Msimu Ukiisha GSM Anashusha Nguvu Mpya Za Maana Kuelekea Iyo Michuano Ya CAF Na Ni Utakuwa Usajili Bora Kuliko Ulofanyika Msimu Huu Kwaio Stay Tuned.
 
Kuelekea CAF CHAMPION LEAGUE 2022/2023 ili tufanikiwe kufika mbali tunapaswa kusajili mbadala wa hizi namba na kufanga maboresho makubwa nafasi kadhaa.
1. BEKI WA KUSHOTO
Timu yetu haina beki wa uhakika wa kushoto hasa wa kushindana kwenye mashindano ya kimataifa. Hana apatikane mtu mrefu na mwenye mwili mkubwa kiasi atusaidie kimataifa.

2. WINGA WA KUSHOTO NA KULIA
MOLOKO, NTIBAZONKIZA, USHINDI, NKANE watuache kwanza, FARIDI hajiamini na ni mchezaji asiye na muendelezo sahihi. Akijirekebisha atatusaidia na hasa awe anatokea banchi.
NTIBA, anakaa sana na mipia bila sababu.
Tupata mbavu mbili kama MSUVA akae kulia, na KISINDA kushoto.

3. NAMBA 10.
Pamoja na kumsifia sana Feisal lakn lazima tuseme ukweli anahitaji stamina kubwa maana ni legelege mno, ni aamue aingie gym au awe anatokea sub. Tupate giant kama KAMUSOKO mtu ambaye akijichimbia chini huchukui mpira na mwenye uwezo na kupiga mabomba hasa.

4. NAMBA 5.
Yes MWAMNYETO atafutiwe changamoto hasa kutoka mataifa ya Magharibi au kusini mwa Afrika.
 
Uko sahihi Mkuu. Japo nawaza itawezekana mabadiliko haya kufanyika? 🤔

Mana si ajabu hawa kina Mayele, Aucho ndo wakasepa halafu tukaletewa wengine tia maji tia maji.
 
Kisinda yupi? Au unamaanisha Tuisila Kisinda? Huyo ni mchezaji wa kiwango cha Dodoma Jiji.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
20220506_171703.jpg
 
Kisinda yupi? Au unamaanisha Tuisila Kisinda? Huyo ni mchezaji wa kiwango cha Dodoma Jiji.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Kisinda na Moloko ni heri Kisinda, kama tunaweza kupata winga mwenye kasi kushoto na kulia tutafika mbali mno.
Hii timu iachane na wachezaji wa ajabu kama NKANE, YASINI, MOLOKO, USHINDI, MAKAMBO, NINJA NK.

MICHUANO YA KIMATAIFA INATAKA TIMU BORA NA SIO KUUNGA UNGA, TIMU LAZIMA IBAKISHE WACHEZAJI MUHIMU KWENYE TIMU HUKU IKIONGEZA WENGINE MUHIMU.

NI AIBU SANA TIMU YETU HAIFANYI VIZURI KILA TUENDAPO KIMATAIFA.
 
Uko sahihi Mkuu. Japo nawaza itawezekana mabadiliko haya kufanyika? [emoji848]

Mana si ajabu hawa kina Mayele, Aucho ndo wakasepa halafu tukaletewa wengine tia maji tia maji.
Aucho wa kawaida sana,hana maajabu....mayele somehow but he's mediocre player,mchezaji wa kubaki hapo uto ni mwamnyeto,diara na job bt hizo takataka nyingine kimataifa bdo kbs

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Aucho wa kawaida sana,hana maajabu....mayele somehow but he's mediocre player,mchezaji wa kubaki hapo uto ni mwamnyeto,diara na job bt hizo takataka nyingine kimataifa bdo kbs

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Hayakuhusu.
Ninyi mbakizeni Bocco,Wawa,Onyango ili muendelee kuchukua kombe LA robo fainali

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom