Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Jukwaa la nyau kule lina vi-thread 351 tu nyau zilihamia huku kwa wajanja!
Ukiona hivyo ujue hakuna mwenye time ya kujiongelesha au kujilalamisha kama nyie

Sisi shughuli yetu tunaimaliza kwenye uzi wa updates na sio kama nyie mnakuja kujificha huku kutoa manung'uniko yenu ambayo hamtaki tuyajue
 
Nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kitengetv-20220510-0001.jpg

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Mmeanza kupagawa mapema hivi mlongo? Hebu kuweni wapoleee mambo mazuri yanakuja. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa. Sio uongo eti.

Tutakuwa wajinga kupitiliza ikitokea mkawa Mabingwa.
 
Ukiona hivyo ujue hakuna mwenye time ya kujiongelesha au kujilalamisha kama nyie

Sisi shughuli yetu tunaimaliza kwenye uzi wa updates na sio kama nyie mnakuja kujificha huku kutoa manung'uniko yenu ambayo hamtaki tuyajue
Pole sana Mtani. Niseme tu haya ni matumizi mabaya ya akili. 😀😀

Hivyo zile Special threads za timu za ulaya mule ndani ni manung'uniko tu yapo? 🤣

Semeni tu hampo kisasa na uzi wenu. Teh teh.
 
Ila mna mioyo ya kipekee aisee. Yaani mko nyuma points nane lakini mnajiona kama ndo mnaongoza ligi vile. Lol.
Shadeeya usiwapunguzie gepu, waambie kabisa wako nyuma point 11! Hicho kiporo hawajacheza na wajue Kagera siyo wa mchezo mchezo anaweza kuwawasha!
 
Back
Top Bottom