Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kabisa yaani.Heshima yetu imerudi
View attachment 2262418
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa yaani.Heshima yetu imerudi
View attachment 2262418
Kabisa Mkuu Kasaidia Sana Huyu MwambaHahahaaa. Huyu jamaa hatoisahau yanga. [emoji3][emoji3]
Sema nini na yeye ni sehemu ya huu ubingwa wetu pia.
Asiyekubali hii inabidi tumfanyie vipimo.
Mtani vumilia ivo ivo hayo maumivu uliyo nayo. 😎Utopolo bana hela walizopata ni Sawa na simba kufika robo fainal caf
"Wanaoumia Ni Wengi Kuzidi Coastal Union"Utopolo bana hela walizopata ni Sawa na simba kufika robo fainal caf
😅😅"Wanaoumia Ni Wengi Kuzidi Coastal Union"
In Mpenja Voice [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtani cna maumivu bhanaa,. Yaan msimu huu tyuuh niumie aaah wapi wee.Pole Mtani.
Afadhali we umeamua kujipoza maumivu kwa style hii. [emoji28][emoji28] [emoji126][emoji126]
😂😂
Mayele Anatetema Af Kuna Wengine Wanatetemeka Huko Walipo [emoji23][emoji28][emoji28]
Na tumewazidi 200Mil kwa pesa ya Robo.Utopolo bana hela walizopata ni Sawa na simba kufika robo fainal caf
Hahahaa. Lol😂😂
Hongera mtani..
Maana kwakweli mmejitahidi japo mmekutana na msimu wa Simba gonjwa gonjwa 😂
Hizo maandishi zako zina sound hivyo atii. 😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtani cna maumivu bhanaa,. Yaan msimu huu tyuuh niumie aaah wapi wee.
Wee Enjoyyyyyyyyy!!!
Hurrraaaaayyyy!!!!Hizo maandishi zako zina sound hivyo atii. [emoji28][emoji28]
Ila usijali bana. Tuko pamoja Mtani. [emoji1666]
Hahahaaa. Wajikaze.Mayele Anatetema Af Kuna Wengine Wanatetemeka Huko Walipo [emoji23]
Kama ni hivyo rudi katika historia tulishawahi kufanya hivyoIlikua back to back? Huioni Azam hapo?
Sisi tulichukua wenyewe tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niko poa kabisa mtani.Hahahaa. Lol
Shukran Mtani. 🙏 I hope uko mzima pia?