Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
ivi huyo said bahanuz ni mtu wa taifa gani?
Ni mtanganyika,tumshangalie tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ivi huyo said bahanuz ni mtu wa taifa gani?
ukuta wa Yanga wa sasa hivi unanikumbusha Ukuta wa AC Milan wa Mwaka 1989 na 2003.
1989...
1. Galli
2. Tasotti
3. Maldini
4. Costacurta
5. Nahodha Franco Baresi
2003...
1. Dida
2. Cafu
3. Nahodha Paolo Maldini
4. Jaap Stam
5. Nesta
uzuri wa mpira huwa ni dk 90 soo kina bala is always here naombeni support yenu hapo kesho wakati na mchukua mwali for the first time na huku MG16 akipigilia msumari wa ushindi
Forza Azam FC
Rageeeeeeee.....nimecheka niliposoma ufafanuzi wa kisheria kuh Yondani....nakumbuka Rage alisema mkataba wa yanga ni toilet paper...Kumbe alikuwa akimaanisha mkataba wa simba na yondani ndio chambizi??? Maharage bana...
pamoja na kumshangilia mume wenu wote mmetoka vichwa chini. Kweli mjini hawaishi simba.
Dar Young Africans!!
ntakaporudi ntakuja kuwapa mafanikio, malengo na mikakati ya yanga.
na hatma ya ubaya tunaopandikizwa kutokana na utajiri tulionao.
Total matches played: 174
Yanga wins: 79
Simba wins: 73
Drawn: 22
Yanga inaidai Simba mechi 6 (i.e Simba inahitaji mechi 6 kuifikia record hii!!)
Country championship trophies:
Yanga: 23
Simba: 18
Yanga inaidai Simba trophies 5 (Simba inahitaji miaka 5 kuifikia record hii!)
Cecafa championship trophies:
Yanga: 5
Simba: 6
Yanga inadaiwa na Simba trophy 1 (i.e Yanga inahitaji mwaka mmoja TU kuifikia record hii ambayo ni mwaka kesho!)