Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

ukuta wa Yanga wa sasa hivi unanikumbusha Ukuta wa AC Milan wa Mwaka 1989 na 2003.

1989...
1. Galli
2. Tasotti
3. Maldini
4. Costacurta
5. Nahodha Franco Baresi


2003...
1. Dida
2. Cafu
3. Nahodha Paolo Maldini
4. Jaap Stam
5. Nesta

kaka huo ukuta ni zege" nadhani kupenya ngome ya Yanga sasa lazima uwe mtaalam, Yondani amefiti vilivyo utadhani alianzia hapo Mnyama lazima alie sana mwaka huu..hata hivyo tunahitaji no. 9 nyingine kumsaidia bahanuzi na wingi ya kushoto kutumbukiza mashambulizi kati mithili ya Ngassa.
 
uzuri wa mpira huwa ni dk 90 soo kina bala is always here naombeni support yenu hapo kesho wakati na mchukua mwali for the first time na huku MG16 akipigilia msumari wa ushindi

Forza Azam FC

Mtajibeba,naombea MG16 asipangwe siku hiyo ksbb mtakuja kumlaumu bure mkiamini amefanya makusudi kumbe ni ung'adu wa kina Canavaro na Vidic
 
Rageeeeeeee.....nimecheka niliposoma ufafanuzi wa kisheria kuh Yondani....nakumbuka Rage alisema mkataba wa yanga ni toilet paper...Kumbe alikuwa akimaanisha mkataba wa simba na yondani ndio chambizi??? Maharage bana...
 
Rageeeeeeee.....nimecheka niliposoma ufafanuzi wa kisheria kuh Yondani....nakumbuka Rage alisema mkataba wa yanga ni toilet paper...Kumbe alikuwa akimaanisha mkataba wa simba na yondani ndio chambizi??? Maharage bana...

Huyo mpiga zumari,hajui kitu.YANGAAAAAAAAAAAA.............
 
Leo tafuna hao Lamba lamba,tossing 2-1 for Dar Young Africans SC.
 
Wenger njoo umchukue Baanuzi huku,achana na chamakh hajui alifanyalo anaipotezea muda club.
 
Hiyo ndo yanga ya manji, usifanye mchezo nayo,. Ice cream leo zimeyeyukia jangwani
 
yanga imempioga azam bao 2-0 sababu azai haiwezi kaa jangwani labda mtoni kama mto msimbazi.
 
¤*¨¨*¤.¸¸...¸.¤*¨¨*¤..¸¸...¸
\¸.¤* AC MILAN * *¨*¤...¸...¸
.\¸.¤*¨¨*¤.¸¸.¸.¤*¨¨*¤..¸¸...¸
..\
☻/
.▌
/ \

Forza Milan!
Milan Campione!
Forza Milan
il Milan ole…
Forza Milan!
Vinci per noi!
Forza Milan
la Sud e con te!
Ale.. ale.. ale.. ale
╔═╦═╗╔══╦╦╗╔═╦═╗
║╬║╠╝║║║║║║║╬║║║
║║║╠╗║║║║║╚╣║║║║ ╚╩╩═╝╚╩╩╩╩═╩╩╩╩╝
 
ntakaporudi ntakuja kuwapa mafanikio, malengo na mikakati ya yanga.
na hatma ya ubaya tunaopandikizwa kutokana na utajiri tulionao.

Mkuu Gang Chomba, please ongeza data hizi hapa chini kwenye original post yako halafu utakuwa unazi-update as and when. Statistics hizi ni mara baada ya Yanga Afrika kunyakua Kagame cup mwaka huu.

Total matches played: 174
Yanga wins: 79
Simba wins: 73
Drawn: 22
Yanga inaidai Simba mechi 6 (i.e Simba inahitaji mechi 6 kuifikia record hii!!)

Country championship trophies:
Yanga: 23
Simba: 18
Yanga inaidai Simba trophies 5 (Simba inahitaji miaka 5 kuifikia record hii!)

Cecafa championship trophies:
Yanga: 5
Simba: 6
Yanga inadaiwa na Simba trophy 1 (i.e Yanga inahitaji mwaka mmoja TU kuifikia record hii ambayo ni mwaka kesho!)
 
Hivi suala la usajili wa Twite na Yondani limeishaje??
 
Back
Top Bottom