Mayele is not that selfish bro, ile ilitokea tu cz yeye mwenyewe anajijua co mzuri kwenye penalty, ila inaonekana kama alifanya sn mazoezi ya kupiga penalty, so alitaka kuangalia itakuwaje? Kuhusu kuwa mfungaji bora hilo ni kawaida kwa kila forward mwenye njaa ya magoli, hata sisi mashabiki wa Yanga tunatamani hilo litokee na hatujamlaumu kabisa mana baada ya kukosa akapambana akafunga, tatizo liko wapi? Mbona mara kibao tu huwa anaacha penalty hapigi? Nyie Makolo mnaumia sn na wachezaji wetu mnaanza kupandikiza chuki zenu kwa players wetu.
Sasa tunawaambia, Mayele ataendelea kupiga penalties mpk kieleweke msimu huu.