Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Kocha Nabi aende Tunisia na mbinu ya kupaki basi kama walivyofanya wao.
Bora penati zipigwe
Bora penati zipigwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mtani kwa unbeaten kimataifa.Kwa mbaaali.
Muda wenu huu Mtani kutuzodoa na kutusanifu mtakavyo.Hongera mtani kwa unbeaten kimataifa.
We naae si uhamie Yanga tu sababu tunajuaga sana kukushughulisha.Wenzenu baada ya ile mechi ya dar washapiga game mbili za ligi,nyie mnadanga tu...mkishughulikiwa mtarudi nalalama huku
UTOPOLO?!!!!!!!We naae si uhamie Yanga tu sababu tunajuaga sana kukushughulisha.
Dooh!UTOPOLO?!!!!!!!
MIMI???? NIHAMIE MIHOGO FC!!!!????AAAAH WEHHH HEBU NITAKE RADHI KIDOGO,
MAANA HII KESI NI KUBWA,NI SAWA NA UMENIVUA NGUO....UDHALILISHAJI HUU,
MODS MNAANGALIA TU HIKI ANACHONIFANYIA,YAANI MIMI NIHAMIE KWA WATU WASIO NA AKILI MIMI...UUUUUUUUHHHHHHHHH WIIIIIH
Ikabidi uangalie tena profile yake kama ni M au F [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dooh!
Mwiko uliokukaa nyuma unakusumbua,sasa mnaweka mihogoIkabidi uangalie tena profile yake kama ni M au F [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kupindua zulia mjini tunis🤣🤣🤣🤣I hope kesho tutafanya vizuri InshaAllah.
View attachment 2410428
Haiwezekani?Kupindua zulia mjini tunis🤣🤣🤣🤣
Wananchi hatushindwi leo tunapata draw yetu ya 1-1 tumepita.🤣🤣🤣🤣🤣Haiwezekani?
Lol.Wananchi hatushindwi leo tunapata draw yetu ya 1-1 tumepita.🤣🤣🤣🤣🤣
mtani hutoboi leoLol.