Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Mpaka sasa mchezaji wa kimataifa anayetakiwa kupewa mkono wa kwa heri ni Makambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize ndugu zakeHivi yule Mpole yupo wapi jama. [emoji23]
View attachment 2427998
Hivi yule Mpole yupo wapi jama. [emoji23]
View attachment 2427998
Na Kisinda.Mpaka sasa mchezaji wa kimataifa anayetakiwa kupewa mkono wa kwa heri ni Makambo
Mbona kama Kisinda ana anza kujaNa Kisinda.
Wampe mkataba pep mnene aisee 😀Hahahaaa. Ndio in Mgunda We Trust.
In Pep Mgunda we trust......Wampe mkataba pep mnene aisee [emoji3]
Yaani. Acha tu Mkuu.Kuna watu wanateseka huko[emoji16][emoji16][emoji16] wanapigwa huko kaka zao tunawalipia kila uchwao
Yaani. Acha tu Mkuu.
Mpaka sasa mchezaji wa kimataifa anayetakiwa kupewa mkono wa kwa heri ni Makambo
Mpole ni one season wonder simba walitaka kupigwa paleHivi yule Mpole yupo wapi jama. [emoji23]
View attachment 2427998
Swahiba ujue mgunda ni bonge la kocha,kolo's wasubiri tu maajabu yake kwenye makundi caf 😀Nakazia. 🤣🤣🤣
Apewe muda apewe muda Mgunda.
Ngoja tuwasubiri Ngada FC, Sembe FC, Pusha, FC Punda FC, Bwimbwi FC.Swahiba ujue mgunda ni bonge la kocha,kolo's wasubiri tu maajabu yake kwenye makundi caf 😀
Watapigwa kamq ngomaNgoja tuwasubiri Ngada FC, Sembe FC, Pusha, FC Punda FC, Bwimbwi FC.
Tutakuwa pamoja kwenye screen kunako 16.00 hrs shemela.Timu ya Wananchi tunahitaji points zingine tatu hapo kesho ili tuzidi kujiimarisha zaidi pale kwenye nafasi yetu tuliyoizowea.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Hakika Shem.Tutakuwa pamoja kwenye screen kunako 16.00 hrs shemela.