Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ile misemo pendwa imepotea mithili ya mdudu dinosaur
1.[emoji2788] Ukiona Yanga anaongoza ligi ujue Simba hajacheza [emoji777]
2. [emoji2788]Hao kawaida yao hua wanatangulia na basikeli ya miti [emoji777]
3.[emoji2788]Hao kawaida yao kuongoza round ya kwanza round ya pili tunakuja wenye nasafi yetu [emoji777]
N.b sasa hivi wamekuja na habari ya Jezi nyeusi wakati wao tumewapapasa bila jezi nyeusi
Au ile kauli ya kila mmmoja ashinde mechi zake haipo tena siku hizi. 😂
 
Kocha Papaa Zahera [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].,...nchi hii
 
Hivi hiyo 1.5+ au 1.5 under huwa inamaanisha nini? Naonaga sana kwenye page za michezo, naomba kujuzwa
Over 1.5 maana ake mechi nzima zipatikane angalao goli mbili mfano 2-0, 1-1, 3-0 n.k na under 1.5 maanake mpaka mechi inaisha zisifike goli mbili yaani iishie 0-0 au 1-0
 
Screenshot_20221219-145224_Instagram.jpg
 
Hata atangulie goli 10 hachukui ufungaji bora [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Back
Top Bottom