Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wanafikiri Rangi Ya Jezi Ndio Inatupa Matokeo Ya Ushindi….Wakati Quality Yetu Ndo Inaamua [emoji28][emoji28]
Nadhani wameshaanza kujijengea kitu kichwani tangia ile mechi na Azam.

Mana walijua kwa asilimia zote tunapoteza eti kisa hatujavaa jezi nyeusi.
 
Screenshot_20230102-200706_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom