Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
Wengine hatujui. Kwa uwezo wa Yanga atakua anacheza club bingwa. Nasikia yupo vizuri kuliko SimbaSwali la kipumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine hatujui. Kwa uwezo wa Yanga atakua anacheza club bingwa. Nasikia yupo vizuri kuliko SimbaSwali la kipumbavu
Hakika. Hahahahaaa.Mod atakuwa ni Arsenal damu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wao waendelee tu kuwa mawakili wa Feisal na SportPesa. 🤣🤣Yanga atachukua ubingwa mara tano mfululizo, mpk waje wastuke kwamba mpira wa sasa hauhitaji mbambamba sio leo.
Yanga anacheza club bingwa au ameshatoka?Hakika. Hahahahaaa.
Mauchungu yake akayamaliza kwa kukupiga ban. Teh teh.
Yanga anacheza club bingwa au ameshatoka?Yanga atachukua ubingwa mara tano mfululizo, mpk waje wastuke kwamba mpira wa sasa hauhitaji mbambamba sio leo.
Hivi huyu jamaa alikuwaga wapi jamani?
View attachment 2547400
Huko huko porini ulipo kaa ukijua kwamba Yanga anaongoza ligi kwa tofauti ya pointi 8 inayokamilishwa leo.Yanga anacheza club bingwa au ameshatoka?
Nipo pori mwaka sasa
Ooh! Kumbe.Alikuwa Anaumwa Nyonga Huyo, Naona Saiv Atakuwa Amepona.
🤣🤣🤣Huko huko porini ulipo kaa ukijua kwamba Yanga anaongoza ligi kwa tofauti ya pointi 8 inayokamilishwa leo.
MajeruhiHivi huyu jamaa alikuwaga wapi jamani?
View attachment 2547400
Mods wamenifurahisha sana! Kumbe hizi ahadi zetu huwa wanafuatilia? Safi sana!Mambo ya Arsenal hayo, nilisema wakishinda nipigwe ban basi mpk dk ya 80 Arsenal kapigwa, doohh dk ya 90 wakarudisha zile dk za nyongeza wakaongeza cha pili, basi wana Arsenal wakamganda Active anilime ban nikapigwa kweli bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2547288
Tumeleta dharau za kijinga!
Kweli kabisa. Na sikioni hata tunachokifanya.Tumeleta dharau za kijinga!