Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hivi huyu jamaa alikuwaga wapi jamani?
Screenshot_20230312-134102_Instagram.jpg
 
Tulianza taratibu kwa kuingiza mchezaji mmoja mmoja, now wawili, itafika kipindi tutaingiza wachezaji watano pekeetu, Mayele anakosaje hapa kwa fomu ile ya juzi.
IMG-20230312-WA0006.jpg
 
Mambo ya Arsenal hayo, nilisema wakishinda nipigwe ban basi mpk dk ya 80 Arsenal kapigwa, doohh dk ya 90 wakarudisha zile dk za nyongeza wakaongeza cha pili, basi wana Arsenal wakamganda Active anilime ban nikapigwa kweli bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2547288
Mods wamenifurahisha sana! Kumbe hizi ahadi zetu huwa wanafuatilia? Safi sana!
 
Back
Top Bottom