Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

[emoji172][emoji169]
IMG_0980.jpg
 
Wanasema usimpe Nabi nafasi ya kufikiria. Nimependa reaction ya wachezaji hasa baada ya kufungwa tumecheza vizuri tukashambulia ila ufanisi ukawa unakosekana hapo sasa ndio Nabi akafanya kazi yake.

Well done Yanga, 11 points clear 3 za kwao April
Nabi ajangewe sanamu pale jangwani aisee.

Na hapa sioni wapi atatokea mtani hiyo Aprili ikifika.
 
Back
Top Bottom