severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Hivi ana miaka mingapi?Fabrice ngoma to yanga deal done......mimi ndio fabrizio Romano wenu....niamini mm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ana miaka mingapi?Fabrice ngoma to yanga deal done......mimi ndio fabrizio Romano wenu....niamini mm
Sasa Morrison anabaki halafu kocha Bado hajatoa ripoti ya wachezaji anawahitaji? Anabaki Kwa matakwa ya nani? Any ways vyovyote siyo ishu mana Morrison ni mchezaji Bora sana so endapo hayo masharti yatafwnya kazi basi huyu chizi atageuka kuwa lulu msimu ujaoMayele anabaki, nabi anabaki, kaze anaondoka anaenda kuwa kocha mkuu singinda big star, na Kizumbi hatui yanga, lkn yanga wanatafuta winger mmoja, Morrison anabaki lkn anapewa mashart mapya kweny mkataba....na nabi report yake itawekwa wazi juu ya wachezaji gani anawahitaji zaidi.
Pamoja Mkuu. 🙏Hongereni sana wananchi Kwa kombe la ASFC, huu ndio msimu Bora kabisa Kwa timu inayotokea EA na ninaamini itachukua muda mrefu sana kutokew timu itayokuwa na msimu Bora kama huu Kwa Yanga!
29 kakaHivi ana miaka mingapi?
Report gani wakati kaondoka?Sasa Morrison anabaki halafu kocha Bado hajatoa ripoti ya wachezaji anawahitaji? Anabaki Kwa matakwa ya nani? Any ways vyovyote siyo ishu mana Morrison ni mchezaji Bora sana so endapo hayo masharti yatafwnya kazi basi huyu chizi atageuka kuwa lulu msimu ujao
hahahahaReport gani wakati kaondoka?
Kupata vichekesho hv, bonyeza *65328#Mayele anabaki, nabi anabaki
Lime xpire kwako babuTafuta jipya Hilo limeexpire bibi
Kibu d mkandajiSimba tumewavua siyo nguo tu bali tumewavua mpaka chupi!
We ni tapeli tu,mbona nabi kaondoka??[emoji1787]Fabrice ngoma to yanga deal done......mimi ndio fabrizio Romano wenu....niamini mm
Aisee! Nimesikitika sana Mkuu.Nabi kaondoka
Mayele anabaki, nabi anabaki, kaze anaondoka anaenda kuwa kocha mkuu singinda big star, na Kizumbi hatui yanga, lkn yanga wanatafuta winger mmoja, Morrison anabaki lkn anapewa mashart mapya kweny mkataba....na nabi report yake itawekwa wazi juu ya wachezaji gani anawahitaji zaidi.
Bro amka usije ukajinyea ndotoni.Mayele anabaki, nabi anabaki, kaze anaondoka anaenda kuwa kocha mkuu singinda big star, na Kizumbi hatui yanga, lkn yanga wanatafuta winger mmoja, Morrison anabaki lkn anapewa mashart mapya kweny mkataba....na nabi report yake itawekwa wazi juu ya wachezaji gani anawahitaji zaidi.
Nilileta uzi kutilia mashaka haya mafanikio tunayoyapata yanaipa changamoto kubwa sana uongozi wa Yanga. Na ndicho kitakachotokea, Nabi kasepa na pia benchi la ufundi linazidi kumegeka. Wachezaji pia kadhaa tunaweza tukawakosa. Msimu ujao tunaenda kuanza na upyaView attachment 2658714
Kwa hili inabidi uongozi wa Timu ya Wananchi utulize sana kichwa ili kumpata ambaye ataendeleza pale alipoishia Kocha Nabi.
Sio kazi rahisi ila tuna imani na Viongozi waliopo madarakani.
Unasikitika nini wakati Nabi ameshindwa kufikisha Yanga Group stage ya CAFCL?Aisee! Nimesikitika sana Mkuu.
Sijui nani atachukua nafasi yake?