Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mayele anabaki, nabi anabaki, kaze anaondoka anaenda kuwa kocha mkuu singinda big star, na Kizumbi hatui yanga, lkn yanga wanatafuta winger mmoja, Morrison anabaki lkn anapewa mashart mapya kweny mkataba....na nabi report yake itawekwa wazi juu ya wachezaji gani anawahitaji zaidi.
Sasa Morrison anabaki halafu kocha Bado hajatoa ripoti ya wachezaji anawahitaji? Anabaki Kwa matakwa ya nani? Any ways vyovyote siyo ishu mana Morrison ni mchezaji Bora sana so endapo hayo masharti yatafwnya kazi basi huyu chizi atageuka kuwa lulu msimu ujao
 
Hongereni sana wananchi Kwa kombe la ASFC, huu ndio msimu Bora kabisa Kwa timu inayotokea EA na ninaamini itachukua muda mrefu sana kutokew timu itayokuwa na msimu Bora kama huu Kwa Yanga!
Pamoja Mkuu. 🙏

Hapa ni uongozi wetu Timu ya Wananchi kukaa chini na kuangalia mapungufu yatakayo kuwepo baada ya baadhi ya wachezaji mikataba yao kuisha na wengine kuondoka kisha kuyafanyia kazi.

Ili msimu ujao tufanye vizuri tena na sio kurudi nyuma.
 
Sasa Morrison anabaki halafu kocha Bado hajatoa ripoti ya wachezaji anawahitaji? Anabaki Kwa matakwa ya nani? Any ways vyovyote siyo ishu mana Morrison ni mchezaji Bora sana so endapo hayo masharti yatafwnya kazi basi huyu chizi atageuka kuwa lulu msimu ujao
Report gani wakati kaondoka?
 
Screenshot_20230615-181955_Instagram.jpg

Kwa hili inabidi uongozi wa Timu ya Wananchi utulize sana kichwa ili kumpata ambaye ataendeleza pale alipoishia Kocha Nabi.

Sio kazi rahisi ila tuna imani na Viongozi waliopo madarakani.
 
Mayele anabaki, nabi anabaki, kaze anaondoka anaenda kuwa kocha mkuu singinda big star, na Kizumbi hatui yanga, lkn yanga wanatafuta winger mmoja, Morrison anabaki lkn anapewa mashart mapya kweny mkataba....na nabi report yake itawekwa wazi juu ya wachezaji gani anawahitaji zaidi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mayele anabaki, nabi anabaki, kaze anaondoka anaenda kuwa kocha mkuu singinda big star, na Kizumbi hatui yanga, lkn yanga wanatafuta winger mmoja, Morrison anabaki lkn anapewa mashart mapya kweny mkataba....na nabi report yake itawekwa wazi juu ya wachezaji gani anawahitaji zaidi.
Bro amka usije ukajinyea ndotoni.
 
View attachment 2658714

Kwa hili inabidi uongozi wa Timu ya Wananchi utulize sana kichwa ili kumpata ambaye ataendeleza pale alipoishia Kocha Nabi.

Sio kazi rahisi ila tuna imani na Viongozi waliopo madarakani.
Nilileta uzi kutilia mashaka haya mafanikio tunayoyapata yanaipa changamoto kubwa sana uongozi wa Yanga. Na ndicho kitakachotokea, Nabi kasepa na pia benchi la ufundi linazidi kumegeka. Wachezaji pia kadhaa tunaweza tukawakosa. Msimu ujao tunaenda kuanza na upya
 
Back
Top Bottom