Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mbappe Wa Congo [emoji460] #FUNDI[emoji91]
20230716_142724.jpg
 
Mayele alikuja Yanga akiwa Straika wa Kawaida kaclick kaja kuclick Yanga. Ligi yetu ina Limit ya wachezaji wa Kigeni so acha aje mgeni, kiwango hakiwezi kufanana kutegemeana na nani anakuzunguka.
Mayele hajaja ku click Yanga ashakuwa mzuri Toka huko kwao,kama sikosei alikuja akiwa mfungaji namba 2 kwenye ligi Yao Kwa tofauti ya goli 2 au Moja nadhani. Any ways jamaa akiondoka(Inasemekana maongezi yamekamilika mchana huu na Fiston ameomba aondoke kwenda Pyramid) tulete mshambuliaji mwingine waliopo hawatoshi. Djuma Inasemekana keshasaini TP Mazembe,japo kwake hakuna shida hata kidogo mana beki tuliyemleta Toka Asec ni Bora kuliko yeye.
 
Sioni shida akisepa, tupate Winga za Maana tu. Namba 9 asimame MUSONDA anatosha kabisa.
 
Back
Top Bottom