LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
sultan kurudi si yule kikongwe anayeishi ukimbizini baada ya kupinduliwa. Halafu huyo unayesema alipinduliwa kisha akarudishwa hayo yalikuwa ni mapinduzi yaliyoshindwa. Usultan kurudi zanzibar ni rahisi hata kwa sura nyingine. Angalia kile chama cha kipemba mienendo yakeni nchi gani ambayo sultani amepinduliwa halafu ukasikia amerudi kutawala? Stop dreaming please! Sultani mwenyewe ana umri wa miaka 94, does he care about recolonizing Zanzibar? I doubt.
Lakini nitakupa mfano wa nchi ya Tanzania ambayo ilimrudisha mtawala aliyepinduliwa bila ya hata raia wake kushauriwa kwa sababu tu alikuwa ...... vipi vile?