Yoweri Museveni: Sudan haitawaliki sababu Al Bashir alichagua Sudan yenye mrengo wa kidini kuliko Sudan ya wote

Yoweri Museveni: Sudan haitawaliki sababu Al Bashir alichagua Sudan yenye mrengo wa kidini kuliko Sudan ya wote

sisi ndio wanausalama wenyewe, ya sudan wasituletee tutawatimua mapema bila kujali mikataba yao ya bandari. Halafu kuna wapuuzi wanachinja mifugo mingi nchi nzima, hayo mamilioni ya kununua mifugo mingi na kuichinja yanatoka wapi, wanachinja kufubaza watanzania akili zao kwa hizo sadka/kafara? Yaani tupumbazike akili tuwe wapole tusihoji mikataba nyonyaji ya maliasili zetu !
nchi gani hiyo
 
wanaofund RSF ni UAE sio Qatar mkuu, fuatilia vizuri,

ndio mana lazima tuwe macho na hizi dpw za samia na rostam, UAE sio watu wazuri
yeah ni kweli nilikosea mkuu shukran kwa kunirekwbisha
 
Af

Mkuu huwezi linganisha Democracy na Monarch nchi za waarabu ni monachy
Ni kweli Mkuu, sasa ina maana tungekuwa na Mfalme tungekuwa mbali?
Je Ufalme unazuia upigaji au ni mfumo tu
Na kwanini wametoka kwenye njaa ya kufa mtu mpaka kuwa hivyo?
Huwezi kukuta police kakusimamisha akakuomba rushwa uarabuni
Ni utamaduni waliojijengea ambao sisi tumeshindwa kabisa kuacha wizi na kuliangamiza taifa kwa rushwa

Ila kuna kitu hakiko sawa kabisa kwetu
 
Uarabu definition ya sasa sio race wala sio rangi, North Africa, Gulf, Levant etc wote ni waarabu ila hawafanani muonekano.

Mtu yoyote anayeongea kiarabu anaitwa mwarabu. Sudan ni weusi ila ni waarabu, Lebanon na Palestina ni kama wazungu ila ni waarabu, North Africa Morocco, Algeria ni kama Spain na Portugal ila ni waarabu.
Tunaweza kupata wapi hiyo tafsiri yako??
Maana kwene vyanzo vya kuaminika haipo
 
Attachments

  • 2F4AC8B2-97D0-4C0B-BEA5-E72765F737CC.jpeg
    2F4AC8B2-97D0-4C0B-BEA5-E72765F737CC.jpeg
    525.7 KB · Views: 5
Ni kweli Mkuu, sasa ina maana tungekuwa na Mfalme tungekuwa mbali?
Je Ufalme unazuia upigaji au ni mfumo tu
Na kwanini wametoka kwenye njaa ya kufa mtu mpaka kuwa hivyo?
Huwezi kukuta police kakusimamisha akakuomba rushwa uarabuni
Ni utamaduni waliojijengea ambao sisi tumeshindwa kabisa kuacha wizi na kuliangamiza taifa kwa rushwa

Ila kuna kitu hakiko sawa kabisa kwetu
Ufalme tungekuwa mbali sana kuliko ujinga wa democracy.
 
Uarabu definition ya sasa sio race wala sio rangi, North Africa, Gulf, Levant etc wote ni waarabu ila hawafanani muonekano.

Mtu yoyote anayeongea kiarabu anaitwa mwarabu. Sudan ni weusi ila ni waarabu, Lebanon na Palestina ni kama wazungu ila ni waarabu, North Africa Morocco, Algeria ni kama Spain na Portugal ila ni waarabu.
Tofautisha kati ya Uarabu na nchi zinazoongea kiarabu.

hizo nchi ambazo si waarabu ila wanaongea kiarabu zinaitwa Arabs speaking countries

Sema kuna shida ya kuchanganua kati ya nchi zinazoongea kiarabu afu ni za kiislam..
mfano Somalia ,djibout zipo Arab world kwa kuongea kiarabu, na dini
 
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan kaskazini Al Bashir aliambiwa achague kati ya Kuifanya Sudan ni ya wasudani wote (isiyo ongozwa kidini, isiyo ya waarabu tu ya watu wote) au Kuwaacha wasudan kusini ambao walikua si waislam, waafrika.

Lakini yeye alichagua Sudan ya kiislam iwe nchi inayongozwa kwa sheria za kidini, na yenye utambuzi wa kiarabu hivo aliruhusu wasudan kusini wajitenge kuliko kufanya sudani ya wote.

Leo hii sudan haitawaliki imekua failed state.

Mwambieni huyo mpumbavu kuwa hata Uganda itakuwa hivyo hivyo kama Sudan. Kwani tofauti ya Omar Al Bashir na Museveni ni nini?

Omar Al Bashir kachagua udikteta wa kidini wakati huyu Museveni kachagua Udikteta wa kifamilia. Museveni amemilikisha utawala wa nchi kwa familia yake na marafiki.

Sasa hivi akitoka yeye atamuachia mwanaye mpuuzi aliyelelewa vibaya Muhoozi Kainerugaba kuwa Rais wa nchi.

Uongozi unaobailishana ni mzuri kuliko hui wa akina Museveni, Kagame na Omar Bashir. Watu wanakuwa kimya kwa wakati lakini hiyo nyongo wanayoijenga ni hatari, inapokuja kupasuka inakuwa HAIZULIKI
 
Aisee
Nimeona Malaysia yaani kweli Monarchy ina nguvu sana Sasa sijui ni ka udikteta flani au wanaridhika na kuhakikisha nchi inakuwa na nguvu kiuchumi huku nako wakinufaika pia

Angalia Malaysia hapo ilivyowqpita wenzieView attachment 2991701
Democracy ni ujinga ambao hauna faida kabisa , ndio chanzo cha umaskini wa Africa....Wafalme pamoja na mapungufu yao ila wanakuwa kama wazazi wanalelea nchi ndio maana hata zamani hizi kingdom ilikuwa wana utaratibu mzuri.
 
Mwambieni huyo mpumbavu kuwa hata Uganda itakuwa hivyo hivyo kama Sudan. Kwani tofauti ya Omar Al Bashir ma Museveni ni nini?

Omar Al Bashir kachagua udikteta wa kidini wakati huyu Museveni kachagua Udikteta wa kifamilia. Museveni amemilikisha utawala wa nchi kwa familia yake na marafiki.

Sasa hivi akitoka yeye atamuachia mwanaye mpuuzi aliyelelewa vibaya Muhoozi Kainerugaba kuwa Rais wa nchi.

Uongozi inabailishana ni mzuri kuliko hui wa akina Museveni, Kagame na Omar Bashir. Watu wanakuwa kimya kwa wakati lakini hiyo nyongo wanayoijenga ni hatari, inapokuja kupasuka inakuwa HAIZULIKI
Huwezi kulinganisha uongozi wa museven na wa al bashiri

Ali bashir alikua dikteta asiyeachia madaraka
Al bashiri alitaka nchi nzima iongee kiarabu
Al bashir alitaka wote wawe waislam
Al bashiri alitaka nchi nzima iongozwe kiarabu(sharia)
 
Drmocracy ni ujinga ambao hauna faida kabisa , ndio chanzo cha umaskini wa Africa....Wafalme pamoja na mapungufu yao ila wanakuwa kama wazazi wanalelea timu ndio maana hata zamani hizi kingdom ilikuwa wana utaratibu mzuri.
ndio mkuu
 
Huwezi kulinganisha uongozi wa museven na wa al bashiri

Ali bashir alikua dikteta asiyeachia madaraka
Al bashiri alitaka nchi nzima iongee kiarabu
Al bashir alitaka wote wawe waislam
Al bashiri alitaka nchi nzima iongozwe kiarabu(sharia)
Weka hapa na za Museveni sasa mbona umeandika za upande mmoja??
 
Back
Top Bottom