Mkuu kama n fantasie yako kutawaliwa na waarabu usijari !! hamna anaekukataza !! safari njema
lakini umeridhika kabisa kutawaliwa na CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama n fantasie yako kutawaliwa na waarabu usijari !! hamna anaekukataza !! safari njema
ccm ni nani si wananchi mbona mkuu kama huna ubongo??lakini umeridhika kabisa kutawaliwa na CCM
Muafrica ni mtu anaeishi Africa!Uafrica sio weusi mkuu, unatakiwa uofautishe kati ya muafrca na mbantu, Hata kaburu wa Africa Kusini nae ni muafrica
Mis use of identity. inaanza kututafuna watanganyika na wazanzibar ni mbaya lazima tupige vita sana huo sio uzalendo sisi ni wamoja ni watanzania wote AMENKatika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan kaskazini Al Bashir aliambiwa achague kati ya Kuifanya Sudan ni ya wasudani wote (isiyo ongozwa kidini, isiyo ya waarabu tu ya watu wote) au Kuwaacha wasudan kusini ambao walikua si waislam, waafrika.
Lakini yeye alichagua Sudan ya kiislam iwe nchi inayongozwa kwa sheria za kidini, na yenye utambuzi wa kiarabu hivo aliruhusu wasudan kusini wajitenge kuliko kufanya sudani ya wote.
Leo hii sudan haitawaliki imekua failed state.
nadhan kuna hilo tatizo lakini pia kama kuna vipengele ambavyo havifai kwene muungano vitoleweMis use of identity. inaanza kututafuna watanganyika na wazanzibar ni mbaya lazima tupige vita sana huo sio uzalendo sisi ni wamoja ni watanzania wote AMEN
ndo shida inapoanziaWaislam wengi ndo hupenda mambovkama hayo ya kidini kwenye serikali
Tatizo ni maada za muungano ziko nyingi sana mpaka zinaleta complications lkn. wacha wanasiasa watumie kutamba nazo majukwaani. Waligawe taifanadhan kuna hilo tatizo lakini pia kama kuna vipengele ambavyo havifai kwene muungano vitolewe
Muafrica ni mtu anaeishi Africa!
Original ya muafrica ni mtu mweusi awe n mbantu au niger congo achana na wavamizi waarabu au makaburu!!
Unahitaji kutolewa uvundo kichwan
ccm ni nani si wananchi mbona mkuu kama huna ubongo??
KAONGEA SAHIHI TENA SAHIHI KABISA.Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan kaskazini Al Bashir aliambiwa achague kati ya Kuifanya Sudan ni ya wasudani wote (isiyo ongozwa kidini, isiyo ya waarabu tu ya watu wote) au Kuwaacha wasudan kusini ambao walikua si waislam, waafrika.
Lakini yeye alichagua Sudan ya kiislam iwe nchi inayongozwa kwa sheria za kidini, na yenye utambuzi wa kiarabu hivo aliruhusu wasudan kusini wajitenge kuliko kufanya sudani ya wote.
Leo hii sudan haitawaliki imekua failed state.
Basi kitu ambacho mmekua hamkifahamu.muungano ukivunjika soon zanziba itakuwa dola la kiislam, sultan atarudi kuja kuendeleza usultani. Hiyo bendera yao itabadilishwa kuondoa ile ya muungano ndani yake. Siasa za zanzibar zitakuwa vululuvululu, yatatimia yaliyonenwa na nabii mwenye heri nyerere
Uarabu definition ya sasa sio race wala sio rangi, North Africa, Gulf, Levant etc wote ni waarabu ila hawafanani muonekano.hiyo ni inferiority complex!!
na Identity crisis!!….
huwezi vijua hivo vitu kama ww mwenyewe una huo ugonjwa hapo juu
wanaofund RSF ni UAE sio Qatar mkuu, fuatilia vizuri,nadhan anamaanisha Qatar inayo fund kundi la RSF linalosababisha Genocide Sudan
Halafu waarabu wenyewe hawakereki tunakereka sisi huku waTz.Msudani unamkuta ni mwafrika mweusi alafu anajiita mwarabu
sisi ndio wanausalama wenyewe, ya sudan wasituletee tutawatimua mapema bila kujali mikataba yao ya bandari. Halafu kuna wapuuzi wanachinja mifugo mingi nchi nzima, hayo mamilioni ya kununua mifugo mingi na kuichinja yanatoka wapi, wanachinja kufubaza watanzania akili zao kwa hizo sadka/kafara? Yaani tupumbazike akili tuwe wapole tusihoji mikataba nyonyaji ya maliasili zetu !wanaofund RSF ni UAE sio Qatar mkuu, fuatilia vizuri,
ndio mana lazima tuwe macho na hizi dpw za samia na rostam, UAE sio watu wazuri
ndio nchi isiyoendeshwa na diniYawote ,namakafiri