sultan kurudi si yule kikongwe anayeishi ukimbizini baada ya kupinduliwa. Halafu huyo unayesema alipinduliwa kisha akarudishwa hayo yalikuwa ni mapinduzi yaliyoshindwa. Usultan kurudi zanzibar ni rahisi hata kwa sura nyingine. Angalia kile chama cha kipemba mienendo yakeni nchi gani ambayo sultani amepinduliwa halafu ukasikia amerudi kutawala? Stop dreaming please! Sultani mwenyewe ana umri wa miaka 94, does he care about recolonizing Zanzibar? I doubt.
Lakini nitakupa mfano wa nchi ya Tanzania ambayo ilimrudisha mtawala aliyepinduliwa bila ya hata raia wake kushauriwa kwa sababu tu alikuwa ...... vipi vile?
Mkuu huwezi linganisha Democracy na Monarch nchi za waarabu ni monachyWalikuwa na nguvu sana hata kwenye Bible wamo
Ila baadae wakashambulia Egypt
Ila ukona mwafrika ana mafuta lazima kutakuwa na mgogoro
Waafrika wakishika madaraka uzalendo wanaweka pembeni kabisa na wanaweza kuiuza nchi kwa maslahi ya wanasiasa wachache
Angalia Asia wakipata mafuta wanavyokuwa na maendeleo
Halafu angalia nchi zetu hata wanaojifanya wamesoma zaidi kama Nigerians bado nao ni vurugu tu na utajiri wa mafuta
Waarabu zaidi ya kuchunga ngamia walikuwa hawajui kitu ila wamepata mafuta na kutumia utajiri wao kwa maendeleo yao
Africa tamaa za wachache ndio zinatufanya tuwe masikini wa kutupwa hata sisi pia
Aisee sifahamu ila nachojua waarabu watarudi zanzibar hasa wa omanmuungano ukivunjika soon zanziba itakuwa dola la kiislam, sultan atarudi kuja kuendeleza usultani. Hiyo bendera yao itabadilishwa kuondoa ile ya muungano ndani yake. Siasa za zanzibar zitakuwa vululuvululu, yatatimia yaliyonenwa na nabii mwenye heri nyerere
kuna uzi unahusu barua hizoBarua kutoka zinatoka kwa nani? Zinahusu nini? Kwanini waandikishwe waislam, Wapi na wapi zimefika hizo barua? Kuanzia lini?
RSF kutoka Qatarkama wale wanaopokea amri kutoka ile nchi ndogo kabisa duniani?
Muungano wa kise*ge ni sawa na ndoa za jinsia moja uvunjwe haraka sanaMinaona bora tuvunje tu huu muungano..βΉοΈ
Watakuambia ni waarabu wa roho.Msudani unamkuta ni mwafrika alafu anajiita mwarabu
Msudani unamkuta ni mwafrika alafu anajiita mwarabu
Aisee sifahamu ila nachojua waarabu watarudi zanzibar hasa wa oman
Hamna niliposema waoman wananisumbua ebu fuatilia post na reply zangusasa waoman wanakusumbueni nini?
Mkuu kama n fantasie yako kutawaliwa na waarabu usijari !! hamna anaekukataza !! safari njemasasa waoman wanakusumbueni nini?
hiyo ni inferiority complex!!Pole sana mkuu, Unaweza kuwa Muafrika na pia ukawa muarabu, sasa sijafahamu hoja yako ipo wapi
Unamaanisha Maka, Israeli na Vatikani sio.kama wale wanaopokea amri kutoka ile nchi ndogo kabisa duniani?
hao ndio masultan wenyewe. Vilembwekezi vinajua babu zao walitawala zanzibar na wameacha mbengu mpaka leo zipo zinaota na kumeaAisee sifahamu ila nachojua waarabu watarudi zanzibar hasa wa oman
sawa mkuu niko less educated on subjecthao ndio masultan wenyewe. Vilembwekezi vinajua babu zao walitawala zanzibar na wameacha mbengu mpaka leo zipo zinaota na kumea
nadhan anamaanisha Qatar inayo fund kundi la RSF linalosababisha Genocide SudanUnamaanisha Maka, Israeli na Vatikani sio.
Hizo miji zisha ziteka akili za Waaafrika.
Wapo tayari kuchinjana wao kwa wao ili kutii kilichoandikwa kwenye hiyo miji.
hili tunalilaani kwa nguvu zote, hatutaki udini katika nchi yetuTanzania ndiyo tunakoelekea. Maana Kwa Sasa kunabarua lukuki zinapelekwa shuleni kuandikisha waalimu waislam.huyu mama huyu!
πππhili tunalilaani kwa nguvu zote, hatutaki udini katika nchi yetu
hiyo ni inferiority complex!!
na Identity crisis!!β¦.
huwezi vijua hivo vitu kama ww mwenyewe una huo ugonjwa hapo juu