Yoweri Museveni: Sudan haitawaliki sababu Al Bashir alichagua Sudan yenye mrengo wa kidini kuliko Sudan ya wote

nchi gani hiyo
 
wanaofund RSF ni UAE sio Qatar mkuu, fuatilia vizuri,

ndio mana lazima tuwe macho na hizi dpw za samia na rostam, UAE sio watu wazuri
yeah ni kweli nilikosea mkuu shukran kwa kunirekwbisha
 
Af

Mkuu huwezi linganisha Democracy na Monarch nchi za waarabu ni monachy
Ni kweli Mkuu, sasa ina maana tungekuwa na Mfalme tungekuwa mbali?
Je Ufalme unazuia upigaji au ni mfumo tu
Na kwanini wametoka kwenye njaa ya kufa mtu mpaka kuwa hivyo?
Huwezi kukuta police kakusimamisha akakuomba rushwa uarabuni
Ni utamaduni waliojijengea ambao sisi tumeshindwa kabisa kuacha wizi na kuliangamiza taifa kwa rushwa

Ila kuna kitu hakiko sawa kabisa kwetu
 
Tunaweza kupata wapi hiyo tafsiri yako??
Maana kwene vyanzo vya kuaminika haipo
 

Attachments

  • 2F4AC8B2-97D0-4C0B-BEA5-E72765F737CC.jpeg
    525.7 KB · Views: 5
Ufalme tungekuwa mbali sana kuliko ujinga wa democracy.
 
Tofautisha kati ya Uarabu na nchi zinazoongea kiarabu.

hizo nchi ambazo si waarabu ila wanaongea kiarabu zinaitwa Arabs speaking countries

Sema kuna shida ya kuchanganua kati ya nchi zinazoongea kiarabu afu ni za kiislam..
mfano Somalia ,djibout zipo Arab world kwa kuongea kiarabu, na dini
 
Mwambieni huyo mpumbavu kuwa hata Uganda itakuwa hivyo hivyo kama Sudan. Kwani tofauti ya Omar Al Bashir na Museveni ni nini?

Omar Al Bashir kachagua udikteta wa kidini wakati huyu Museveni kachagua Udikteta wa kifamilia. Museveni amemilikisha utawala wa nchi kwa familia yake na marafiki.

Sasa hivi akitoka yeye atamuachia mwanaye mpuuzi aliyelelewa vibaya Muhoozi Kainerugaba kuwa Rais wa nchi.

Uongozi unaobailishana ni mzuri kuliko hui wa akina Museveni, Kagame na Omar Bashir. Watu wanakuwa kimya kwa wakati lakini hiyo nyongo wanayoijenga ni hatari, inapokuja kupasuka inakuwa HAIZULIKI
 
Aisee
Nimeona Malaysia yaani kweli Monarchy ina nguvu sana Sasa sijui ni ka udikteta flani au wanaridhika na kuhakikisha nchi inakuwa na nguvu kiuchumi huku nako wakinufaika pia

Angalia Malaysia hapo ilivyowqpita wenzieView attachment 2991701
Democracy ni ujinga ambao hauna faida kabisa , ndio chanzo cha umaskini wa Africa....Wafalme pamoja na mapungufu yao ila wanakuwa kama wazazi wanalelea nchi ndio maana hata zamani hizi kingdom ilikuwa wana utaratibu mzuri.
 
Huwezi kulinganisha uongozi wa museven na wa al bashiri

Ali bashir alikua dikteta asiyeachia madaraka
Al bashiri alitaka nchi nzima iongee kiarabu
Al bashir alitaka wote wawe waislam
Al bashiri alitaka nchi nzima iongozwe kiarabu(sharia)
 
Drmocracy ni ujinga ambao hauna faida kabisa , ndio chanzo cha umaskini wa Africa....Wafalme pamoja na mapungufu yao ila wanakuwa kama wazazi wanalelea timu ndio maana hata zamani hizi kingdom ilikuwa wana utaratibu mzuri.
ndio mkuu
 
Huwezi kulinganisha uongozi wa museven na wa al bashiri

Ali bashir alikua dikteta asiyeachia madaraka
Al bashiri alitaka nchi nzima iongee kiarabu
Al bashir alitaka wote wawe waislam
Al bashiri alitaka nchi nzima iongozwe kiarabu(sharia)
Weka hapa na za Museveni sasa mbona umeandika za upande mmoja??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…