Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
-
- #101
ukiongea uwe na takwimuAl Bashir katawala baadae Sana,watawala wa mwanzo hawakua na mrengo wa dini lakini bado palikua na Vita sudani, mabeberu walinyimwa mafuta yaliyopo kusini,na kusini wengi wakiristo,wakatumia dini kuivuruga Sudan,hata John garang wa Sudan kusini ambaye hakupenda nchi kugawanywa,akauawa kwa ajali ya helicopter
Sudan kusini walijitenga hasa baada ya kuona wanatengwa japo na wao wana shida zaoAl Bashir katawala baadae Sana,watawala wa mwanzo hawakua na mrengo wa dini lakini bado palikua na Vita sudani, mabeberu walinyimwa mafuta yaliyopo kusini,na kusini wengi wakiristo,wakatumia dini kuivuruga Sudan,hata John garang wa Sudan kusini ambaye hakupenda nchi kugawanywa,akauawa kwa ajali ya helicopter
Amekalilishwa mabeberu kila kwene uziSudan kusini walijitenga hasa baada ya kuona wanatengwa japo na wao wana shida zao
Fitina ya south Sudan ilianzishwa kitambo mno, marekani na mafuta ya watuSudan kusini walijitenga hasa baada ya kuona wanatengwa japo na wao wana shida zao
Ndiyo maana unaona bado hakukaliki hakuliki south Sudan hata baada ya kujitenga, sababu bwana mkubwa bado hajapata lakeukiongea uwe na takwimu
Mkuu unachosema kipo lakini atleast tuongee kwa fact mkuu!! Hakuna evidence ya kuwa south sudan inachafuliwa kisa rasilimali shida ni uroho wa madaraka wa viongozi walioshiliki kuikomboa hiyo nchi.Ndiyo maana unaona bado hakukaliki hakuliki south Sudan hata baada ya kujitenga, sababu bwana mkubwa bado hajapata lake
Hamna kampuni ya mafuta ya marekan South sudanFitina ya south Sudan ilianzishwa kitambo mno, marekani na mafuta ya watu
muungano ukivunjika soon zanziba itakuwa dola la kiislam, sultan atarudi kuja kuendeleza usultani. Hiyo bendera yao itabadilishwa kuondoa ile ya muungano ndani yake. Siasa za zanzibar zitakuwa vululuvululu, yatatimia yaliyonenwa na nabii mwenye heri nyerere
kweli kabisaSudan kusini walijitenga hasa baada ya kuona wanatengwa japo na wao wana shida zao
kwaiyo unadhan ccm ina muda hata wakukujibu?? hawa ni watanzania!huyo sultan hajarud somalia na comoro ndo arudi zenj ? hizi propaganda za ccmu ni za kijinga sn
Kula nyama nyamaza. Dua la mwarabu likupate wewe mbonde wa majohe.sisi ndio wanausalama wenyewe, ya sudan wasituletee tutawatimua mapema bila kujali mikataba yao ya bandari. Halafu kuna wapuuzi wanachinja mifugo mingi nchi nzima, hayo mamilioni ya kununua mifugo mingi na kuichinja yanatoka wapi, wanachinja kufubaza watanzania akili zao kwa hizo sadka/kafara? Yaani tupumbazike akili tuwe wapole tusihoji mikataba nyonyaji ya maliasili zetu !
Ndiyo maana bado kuna vurugu,sababu hajapata chake,fuatilia wadhamini wa magenge yanaypigana south SudanHamna kampuni ya mafuta ya marekan South sudan
Marekani kaanzisha chokochoko Sudan siku nyingi,garang kijana na hakuwa mshika beramMkuu unachosema kipo lakini atleast tuongee kwa fact mkuu!! Hakuna evidence ya kuwa south sudan inachafuliwa kisa rasilimali shida ni uroho wa madaraka wa viongozi walioshiliki kuikomboa hiyo nchi.
na kama unavojua mkipigana Maadui watajitokeza
Waarabu kiasili ni watu wa gulf tu, Oman, Yemen, Saudi, UAE, Qatar etc.Tofautisha kati ya Uarabu na nchi zinazoongea kiarabu.
hizo nchi ambazo si waarabu ila wanaongea kiarabu zinaitwa Arabs speaking countries
Sema kuna shida ya kuchanganua kati ya nchi zinazoongea kiarabu afu ni za kiislam..
mfano Somalia ,djibout zipo Arab world kwa kuongea kiarabu, na dini
Mkiristo gani anangangania madaraka?Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan kaskazini Al Bashir aliambiwa achague kati ya Kuifanya Sudan ni ya wasudani wote (isiyo ongozwa kidini, isiyo ya waarabu tu ya watu wote) au Kuwaacha wasudan kusini ambao walikua si waislam, waafrika.
Lakini yeye alichagua Sudan ya kiislam iwe nchi inayongozwa kwa sheria za kidini, na yenye utambuzi wa kiarabu hivo aliruhusu wasudan kusini wajitenge kuliko kufanya sudani ya wote.
Leo hii sudan haitawaliki imekua failed state.
una uliza au unajibuMkiristo gani anangangania madaraka?
Walikua Arabised bila waarabu kufika ? ebu kasome Arab invasion ya Egypt na hizo nchi utajuaWaarabu kiasili ni watu wa gulf tu, Oman, Yemen, Saudi, UAE, Qatar etc.
North Africa, Sudan, Egpty, Lebanon, Palestine, Part ya Syria, Iraq etc sio waarabu kiasili ila wamekuwa arabized, sababu wanaongea kiarabu na kufuata tamaduni baadhi za kiarabu basi wanaitwa waarabu.
Sudan ni kushite, Morocco, Algeria, Tunisia na Libya ni Amazingh/Berbers, Egpty wapo kuishite na Copts, Lebanon na Palestina ni Levant etc.
??Not to mention backwards writing.
Hakuna cha umoja hapa acha kuandika upumbavu humuMis use of identity. inaanza kututafuna watanganyika na wazanzibar ni mbaya lazima tupige vita sana huo sio uzalendo sisi ni wamoja ni watanzania wote AMEN