Yoweri Museveni: Sudan haitawaliki sababu Al Bashir alichagua Sudan yenye mrengo wa kidini kuliko Sudan ya wote

Yoweri Museveni: Sudan haitawaliki sababu Al Bashir alichagua Sudan yenye mrengo wa kidini kuliko Sudan ya wote

Al Bashir katawala baadae Sana,watawala wa mwanzo hawakua na mrengo wa dini lakini bado palikua na Vita sudani, mabeberu walinyimwa mafuta yaliyopo kusini,na kusini wengi wakiristo,wakatumia dini kuivuruga Sudan,hata John garang wa Sudan kusini ambaye hakupenda nchi kugawanywa,akauawa kwa ajali ya helicopter
ukiongea uwe na takwimu
 
Attachments

  • C546EBE3-6989-43C6-8298-5C7B749EA334.jpeg
    C546EBE3-6989-43C6-8298-5C7B749EA334.jpeg
    215.3 KB · Views: 5
Al Bashir katawala baadae Sana,watawala wa mwanzo hawakua na mrengo wa dini lakini bado palikua na Vita sudani, mabeberu walinyimwa mafuta yaliyopo kusini,na kusini wengi wakiristo,wakatumia dini kuivuruga Sudan,hata John garang wa Sudan kusini ambaye hakupenda nchi kugawanywa,akauawa kwa ajali ya helicopter
Sudan kusini walijitenga hasa baada ya kuona wanatengwa japo na wao wana shida zao
 
Ndiyo maana unaona bado hakukaliki hakuliki south Sudan hata baada ya kujitenga, sababu bwana mkubwa bado hajapata lake
Mkuu unachosema kipo lakini atleast tuongee kwa fact mkuu!! Hakuna evidence ya kuwa south sudan inachafuliwa kisa rasilimali shida ni uroho wa madaraka wa viongozi walioshiliki kuikomboa hiyo nchi.

na kama unavojua mkipigana Maadui watajitokeza
 
huyo sultan hajarud somalia na comoro ndo arudi zenj ? hizi propaganda za ccmu ni za kijinga sn
muungano ukivunjika soon zanziba itakuwa dola la kiislam, sultan atarudi kuja kuendeleza usultani. Hiyo bendera yao itabadilishwa kuondoa ile ya muungano ndani yake. Siasa za zanzibar zitakuwa vululuvululu, yatatimia yaliyonenwa na nabii mwenye heri nyerere
 
sisi ndio wanausalama wenyewe, ya sudan wasituletee tutawatimua mapema bila kujali mikataba yao ya bandari. Halafu kuna wapuuzi wanachinja mifugo mingi nchi nzima, hayo mamilioni ya kununua mifugo mingi na kuichinja yanatoka wapi, wanachinja kufubaza watanzania akili zao kwa hizo sadka/kafara? Yaani tupumbazike akili tuwe wapole tusihoji mikataba nyonyaji ya maliasili zetu !
Kula nyama nyamaza. Dua la mwarabu likupate wewe mbonde wa majohe.
 
Mkuu unachosema kipo lakini atleast tuongee kwa fact mkuu!! Hakuna evidence ya kuwa south sudan inachafuliwa kisa rasilimali shida ni uroho wa madaraka wa viongozi walioshiliki kuikomboa hiyo nchi.

na kama unavojua mkipigana Maadui watajitokeza
Marekani kaanzisha chokochoko Sudan siku nyingi,garang kijana na hakuwa mshika beram
 
Tofautisha kati ya Uarabu na nchi zinazoongea kiarabu.

hizo nchi ambazo si waarabu ila wanaongea kiarabu zinaitwa Arabs speaking countries

Sema kuna shida ya kuchanganua kati ya nchi zinazoongea kiarabu afu ni za kiislam..
mfano Somalia ,djibout zipo Arab world kwa kuongea kiarabu, na dini
Waarabu kiasili ni watu wa gulf tu, Oman, Yemen, Saudi, UAE, Qatar etc.

North Africa, Sudan, Egpty, Lebanon, Palestine, Part ya Syria, Iraq etc sio waarabu kiasili ila wamekuwa arabized, sababu wanaongea kiarabu na kufuata tamaduni baadhi za kiarabu basi wanaitwa waarabu.

Sudan ni kushite, Morocco, Algeria, Tunisia na Libya ni Amazingh/Berbers, Egpty wapo kuishite na Copts, Lebanon na Palestina ni Levant etc.

Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan kaskazini Al Bashir aliambiwa achague kati ya Kuifanya Sudan ni ya wasudani wote (isiyo ongozwa kidini, isiyo ya waarabu tu ya watu wote) au Kuwaacha wasudan kusini ambao walikua si waislam, waafrika.

Lakini yeye alichagua Sudan ya kiislam iwe nchi inayongozwa kwa sheria za kidini, na yenye utambuzi wa kiarabu hivo aliruhusu wasudan kusini wajitenge kuliko kufanya sudani ya wote.

Leo hii sudan haitawaliki imekua failed state.

Mkiristo gani anangangania madaraka?
 
Waarabu kiasili ni watu wa gulf tu, Oman, Yemen, Saudi, UAE, Qatar etc.

North Africa, Sudan, Egpty, Lebanon, Palestine, Part ya Syria, Iraq etc sio waarabu kiasili ila wamekuwa arabized, sababu wanaongea kiarabu na kufuata tamaduni baadhi za kiarabu basi wanaitwa waarabu.

Sudan ni kushite, Morocco, Algeria, Tunisia na Libya ni Amazingh/Berbers, Egpty wapo kuishite na Copts, Lebanon na Palestina ni Levant etc.

Walikua Arabised bila waarabu kufika ? ebu kasome Arab invasion ya Egypt na hizo nchi utajua
 
Back
Top Bottom