THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Mbobezi Vs Aliyekuwa askofu wa LindiMagufuli Vs Askofu Niwemugizi
Kuanzia aliyewatuma ambaye anajulikanaHujui dunia , hata Rc nenda jaribu mgusa Askofu kindezi ,wapo masister utawakuta wako kwenye msafara wa Askofu sasa siku jichanganye, Fr kitima waliomshambulia wana bahati sana, ila ipo siku watajua hawajui
Gwajima hawezi dakwa kifala hivyo, Kamuulize Suleiman Kova anamtafuta Dar mtu kaibukia zake Arusha hukoTwo possibility.
1-walimnyaka.
2-he went off the Grid
Wewe kama una jinsia ya kiume, basi unatakiwa ujitafakari. Ila kama unatokea Kizimkazi kwenye chimbuko la vichambo na taarabu, hata sishangai.Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
ukiulizwa amekukosea nini, utakuta unajibu "kwa sababu ni mkristo" au ni mlokole. ila hauna jibu lingine. gwajima hajatenda kosa lolote, na amefanya kile kila mtanzania anatamani kusikia, kupinga utekaji na uuaji. Mungu ndiye hakimu wa kweli, hata ninyi mnaoshadadia wauaji na watekaji jueni yupo Mungu Mkuu wa wote, naye hadhihakiwi, anawaona, kebehi zanu anaziona, naye hutoa hukumu ya haki.Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
Watu sio wajinga bana, anasomeka kama kioo. Kujiita jasusi la mbinguni kunazidi kujidhihirisha ujinga ule ule wa kujivika utukufu na kujifanya miungu watu ili kuwapiga waumini wao pesa. What the hell does "jasusi wa mbinguni" even supposed to mean?Kukemea maovu ni jukumu la watu wote,,kinachotutia shaka ni Hawa kina Bagonza,kitima,ghwajima Kila unapokaribia uchaguzi mkuu ndo wanakua machachari kwelikweli,,maana yake ni kuwa wanakuaga na ajenda zao,
Tumeshuhudia mauaji ya kimbari Rwanda yakichochewa na viongozi wa dini Kama Hawa Hawa kina ghwajima,,
Hivi ghwajima anaadhani huyo mama anaemsakama Hana watu siyo?.
Watu siyo wajianga bana
πππ Hatari sanaππ,jf niligundua 2008,,ila nilihangaika ku regist Hadi 2011,,ilihitaji email na kipindi hicho email yalikua mambo mageni..,so kabla ya jf vijiwe vyangu ilikuwa ni THE GRID na TOPFUNπ€
Wewe humuogopi kichaa aliyeshika panga?Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Sijawahi kuvutiwa na viongozi wa dini wa aina ya Gwajima hata siku moja.Watu sio wajinga bana, anasomeka kama kioo. Kujiita jasusi la mbinguni kunazidi kujidhihirisha ujinga ule ule wa kujivika utukufu na kujifanya miungu watu ili kuwapiga waumini wao pesa. What the hell does "jasusi wa mbinguni" even supposed to mean?
Maovu yapo, utekaji upo, binafsi nikiri kwamba labda niko biased against viongozi wa dini style za akina Gwajima kiasi kwamba hata kama anachokisema ni kweli, I dont trust kama anakisema kwa nia njema. Hawa watu wanawatapeli mno waumini wao na utapeli kwangu ni uovu namba moja kabla sijaenda kwa maovu mengine.
Mhhhh gwajima kasanuka Bado Dona tamuBaada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
Cheka sasa na umalize kicheko chako chote, maana saa ya kulia na kusaga meno iko mbele yako wewe na wenzakoBaada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
Matusi yako yanaonyesha wewe ni nani. Ficha uzwazwa na uonyeshe hekima. Shame on you!Wewe kama una jinsia ya kiume, basi unatakiwa ujitafakari. Ila kama unatokea Kizimkazi kwenye chimbuko la vichambo na taarabu, hata sishangai.
Acha uzwazwa na usitutishe wala hatutishiki wala kustuka. Acha apate stahiki yake kwa waliomuumba kisiasa akajiumbua mwenyewe kwa tamaa na uzwazwa. Na bado.Cheka sasa na umalize kicheko chako chote, maana saa ya kulia na kusaga meno iko mbele yako wewe na wenzako
Dhihaki sana kwa sasa maana saa ya aibu yenu iko mbele yako na wenzako
Yesu Kristo alilazimika kumkimbia mfalme Herode (ambaye leo ni kama Rais Samia) ili asimkamate na kumfanyia ubaya (kumuua) kabla ya wakati wake, akaenda Misri na kuishi huko kama mkimbizi wa kisiasa, mpaka Herode alipokufa
Yesu Kristo aliporudi Israel (Uyahudini), alifagia kila uchafu wa watawala walevi wa madaraka...
Askofu wetu Josephat Gwajima ni mtumishi wa Mungu wa kweli, mwana wa Mungu na ni mfalme (Rais) wa Tanganyika
Huyu mama yenu, ni wakati tu lakini kwa kuwa hataki kusikia na kuelewa halafu achukue uamuzi sahihi wa kuokoa roho na maisha yake badala yake anadhani yeye na watu wake ataendelea kuwa hapo alipo basi tambueni hii leo kuwa HAKIKA ATAKUFA HUYU NA TUTAZIKA KAMA TULIVYOZIKA MTANGULIZI WAKE John P. Magufuli MWANZILISHI WA UMWAGAJI DAMU wa watu wa Mungu wasio na hatia!!
Unataka wa nn? Na we itakusaidia nn?Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
Ni kipi kilikukwaza kwenye kauli yake ya pili ndani ya kanisa lake?Sijawahi kuvutiwa na viongozi wa dini wa aina ya Gwajima hata siku moja.
Yale aliyoyasema wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari, ilitosha kabisa kukaa pembeni na kusikiliza walengwa wakihangaika nayo.
Sasa, hayo ya nyongeza ya baadae, yakamwonyesha zile tabia zisizokuwa na maana yoyote katika jamii.
Unakazwa na mafwele wewe queerBaada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
Ajabu, yeye na wakili wake wote viazi tu wamekutana pipa na mfunikoBaada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
Yupo busy anafufua watu muda huuAna ofisi ngapi?