Yuko wapi Medard Kalemani amekuwa kimya sana au ndio anajipanga 2025? Angekuwa bado waziri mradi wa JNHP ungekuwa umekamilika

Yuko wapi Medard Kalemani amekuwa kimya sana au ndio anajipanga 2025? Angekuwa bado waziri mradi wa JNHP ungekuwa umekamilika

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mengine mkosoeni ila, mradi wa JNHP alikuwa anaenda vizuri.

image_search_1680281031498.jpg
 
Ubunge wenyewe tia maji tia maji.

Huyu ndio kidogo aue mitambo ya umeme kwa kulazimisha ifanye kazi ya umeme bila service, hakuwa na mpango kazi wowote wa umeme kama ilivyo Sasa.

Kule Chato miradi yote aliifanya JPM akiwa mbunge na Waziri, yeye hajafanya chochote kile kwa nafasi yake ya ubunge na uwaziri, na Sasa JPM kafa, ndio hajafanya chochote kabisa

2025 Kalemani pita hukuuuu.....
 
Kalemani pita hukuuuu.....
We ni pimbi kabisa. Ile service ya mitambo ilikuwa ni upigaji tu wa wahuni.

Miaka yote zipo miaka yote
 
[emoji23][emoji23][emoji23] jusi tukikutana nae pale ddm Nyerere square akiwa na ist yake siku hyo ndipo akaniambia kuwa hyo gari yake ya ist. Imekaa miaka Saba bila kuendeshwa ndio week end ile alikuwa ameletewa kutoka dar ndio anabadilisha tuvitu kama ac

Gari yake hyo ina namba T 115 DGZ

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom