mirror01
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 1,797
- 1,391
ghettoniAmehifadhi wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ghettoniAmehifadhi wapi?
IST inamfaa kwa ule ufupi, landcruiser labda aweke mito ya kulalia minne kwenye siti, na akiweka mito, accelerator na breki na krachi atazi-miss[emoji23][emoji23][emoji23] jusi tukikutana nae pale ddm Nyerere square akiwa na ist yake siku hyo ndipo akaniambia kuwa hyo gari yake ya ist. Imekaa miaka Saba bila kuendeshwa ndio week end ile alikuwa ameletewa kutoka dar ndio anabadilisha tuvitu kama ac
Gari yake hyo ina namba T 115 DGZ
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Manunga amejipangaAnapita asubuhi tu kabla ya chai kuiva. Jamaa yako tunamkata pale Dodoma.
Inasemekana alitafutwa na israel sababu ni ukaribu na hayati, Mungu amlinde sana huko aliko.
Yule Mzee wa kupaa wa Ibwera, bado anatawaliwa na mkewe yule mkenya.Manunga amejipanga
Sababu zote hizi ili maccm muibeUbunge wenyewe tia maji tia maji.
Huyu ndio kidogo aue mitambo ya umeme kwa kulazimisha ifanye kazi ya umeme bila service, hakuwa na mpango kazi wowote wa umeme kama ilivyo Sasa.
Kule Chato miradi yote aliifanya JPM akiwa mbunge na Waziri, yeye hajafanya chochote kile kwa nafasi yake ya ubunge na uwaziri, na Sasa JPM kafa, ndio hajafanya chochote kabisa
2025 Kalemani pita hukuuuu.....
Sasa tunataka kupiga msako wa zile Hela za china, mtajutaSababu zote hizi ili maccm muibe
Safi kabisa Mkuu! Hili naunga mkono Mkuu! Lakini pia ukumbuke ripoti ya juzi nayo inatusubiriSasa tunataka kupiga msako wa zile Hela za china, mtajuta