Yuko wapi Medard Kalemani amekuwa kimya sana au ndio anajipanga 2025? Angekuwa bado waziri mradi wa JNHP ungekuwa umekamilika

Yuko wapi Medard Kalemani amekuwa kimya sana au ndio anajipanga 2025? Angekuwa bado waziri mradi wa JNHP ungekuwa umekamilika

[emoji23][emoji23][emoji23] jusi tukikutana nae pale ddm Nyerere square akiwa na ist yake siku hyo ndipo akaniambia kuwa hyo gari yake ya ist. Imekaa miaka Saba bila kuendeshwa ndio week end ile alikuwa ameletewa kutoka dar ndio anabadilisha tuvitu kama ac

Gari yake hyo ina namba T 115 DGZ


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
IST inamfaa kwa ule ufupi, landcruiser labda aweke mito ya kulalia minne kwenye siti, na akiweka mito, accelerator na breki na krachi atazi-miss
 
Nilikutana naye Tabora. Jamaa ni very loyal. Mtu poa sana, mfupi mno.

Alikuwa na Cruiser GXL
 
Ubunge wenyewe tia maji tia maji.

Huyu ndio kidogo aue mitambo ya umeme kwa kulazimisha ifanye kazi ya umeme bila service, hakuwa na mpango kazi wowote wa umeme kama ilivyo Sasa.

Kule Chato miradi yote aliifanya JPM akiwa mbunge na Waziri, yeye hajafanya chochote kile kwa nafasi yake ya ubunge na uwaziri, na Sasa JPM kafa, ndio hajafanya chochote kabisa

2025 Kalemani pita hukuuuu.....
Sababu zote hizi ili maccm muibe
 
Back
Top Bottom