Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

Kipindi nipo shule kuna dem mmoja tulisoma nae aliitwa , ile pisi ni [emoji91] yule dem ni mkali hata sjui nimuelezeeje.

Dem alikua ananikubali sana yaan alikua ananipenda balaa alafu alikua na urafik sana na mdogo wangu, dem alikua anakuja mpaka mitaa ya hom ili tu nimuone ila sasa me kipindi hicho niiikuaa lijinga, yaan nilikua simuelew niilikua nampenda dem mwingine ambaye alikua ananisumbua tu.. yule dem alikua akiwambia washkaji lkn nikawa sijali nikawa nampotezea tu.

Baada ya kumaliza shule skumuonaga tena miaka imekwenda nikaja kumuonaga FB, yaan kabadilika nikamcheki tukawa tunawasliana kawaida nikajikuta nampenda sana, nikaja kugundua kumbe kawa malaya wa online wanajiuza whasap na telegram nilisikitika nikampotezea sikua na namna tena.

Yule dem ambae nilikua nampenda sana kipindi hicho mpaka kumkataa huyu alikuja kuniumiza vibaya mpaka nikawa najuta kupoteza muda wangu kwake dah
 
Yupoje? Mweusi na ana msambwanda? Isije ikawa mama mtoto wangu
 
Una malengo na msimamo kama wangu mkuu. Tuendelee kuwatafuta asee,au ulishampata?

Nikimkosa sitooa asee,ni kuzalisha watoto na kutuliza mbupu.
 
Yupoje? Mweusi na ana msambwanda? Isije ikawa mama mtoto wangu
Hapana mkuu, kweli mweusi msambwana ni wa wastani tu sasa yeye mpaka sasa hana mume ila kazalishea watoto wawili baba tofauti. Au mmoja wako mzee?
 
Hapana mkuu, kweli mweusi msambwana ni wa wastani tu sasa yeye mpaka sasa hana mume ila kazalishea watoto wawili baba tofauti. Au mmoja wako mzee?
Yule wa kwangu ana msambwanda mkubwa, alizalishwa mtoto na jamaa mwingine, mimi nikamuongezea wa pili
 
Hivi hapa kuhisi hufai mbele za MTU nikwamba ww unajiona kama utamtesa ktk Nyanja mfano,zauchepukaji au kumkosea heshima or whatever,au unamaana gani hasa hapa mkuu
Ni kiburi tu kutaka kujifanya anajua kuliko MUNGU. We hadi mtu anakufuata lazima ujiulize ametokea wapi na amekujaje hapo kwako na bado moyoni mtu anaomba akutane natu ataempenda kwa dhati.

Sometimes mtu anaweza hisi kuwa ana misimamo na maamuzi yake kumbe ni shetani anakupa kiburi ili umtumie usiolewe uwe malaya ulale na kila anae kuvutia uzae zae hovyo na wanaume tofauti kama nguruwe kutuletea damu ya mabastard kwenye jamii. Faken kabisa yaani.
 
🤣🤣
 
After that akanimute whatsapp ili nisione status zake, soon after akaniblock kabisa. Sikureact kivyovyote, nikavunga.

Hii mbinu ya ku-mute status huwa wanakuwa na maana gani behind the scene..?? Lengo lao hasa huwa nini...?? au ndio kutapatapa...

Wanaamini usipoona status zao kuna jambo utalikosa au ni vipi..??? Heheheh Wanawake bhana..
 
Ila wanaume wengi wamejiingiza kwenye haya mambo ya kununua wanawake sababu ya matukio ya girlfriend zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…