Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

Kipindi nipo shule kuna dem mmoja tulisoma nae aliitwa , ile pisi ni [emoji91] yule dem ni mkali hata sjui nimuelezeeje.

Dem alikua ananikubali sana yaan alikua ananipenda balaa alafu alikua na urafik sana na mdogo wangu, dem alikua anakuja mpaka mitaa ya hom ili tu nimuone ila sasa me kipindi hicho niiikuaa lijinga, yaan nilikua simuelew niilikua nampenda dem mwingine ambaye alikua ananisumbua tu.. yule dem alikua akiwambia washkaji lkn nikawa sijali nikawa nampotezea tu.

Baada ya kumaliza shule skumuonaga tena miaka imekwenda nikaja kumuonaga FB, yaan kabadilika nikamcheki tukawa tunawasliana kawaida nikajikuta nampenda sana, nikaja kugundua kumbe kawa malaya wa online wanajiuza whasap na telegram nilisikitika nikampotezea sikua na namna tena.

Yule dem ambae nilikua nampenda sana kipindi hicho mpaka kumkataa huyu alikuja kuniumiza vibaya mpaka nikawa najuta kupoteza muda wangu kwake dah
 
Miaka.kama.15 nilimpenda sana mdada mmoja wa kinyakusa na nilikuwa tayari kumuoa lakini alinisumbua sana mpaka nikaamua kuachana nae.

Hivi karibuni naona namba ngeni, kuuliza kumbe ni yeye. Basi akawa.anaendelea kunipigia. Ila nimekija kugundua tayari kazalishwa watoto wawili baba tofauti.
Yupoje? Mweusi na ana msambwanda? Isije ikawa mama mtoto wangu
 
Mkuu natafuta mwanamke bikra hakika mimi nimetulia sana na nikimpata nitampenda sana na ikiwa yeye atanipenda pia huyo ndo nitakae muoa
ila kwa ambae nitamkuta siyo bikra nitaachana nae bila kuyajali machozi yake hata anipende vipi, kwakua nikimuoa moyo wangu hautaacha kuhisi nimeoa mpenzi wa mtu hivyo sitaweza kumpenda

Na nisipo pata nipo tayari kutokuoa kabisa .
Una malengo na msimamo kama wangu mkuu. Tuendelee kuwatafuta asee,au ulishampata?

Nikimkosa sitooa asee,ni kuzalisha watoto na kutuliza mbupu.
 
Yupoje? Mweusi na ana msambwanda? Isije ikawa mama mtoto wangu
Hapana mkuu, kweli mweusi msambwana ni wa wastani tu sasa yeye mpaka sasa hana mume ila kazalishea watoto wawili baba tofauti. Au mmoja wako mzee?
 
Hapana mkuu, kweli mweusi msambwana ni wa wastani tu sasa yeye mpaka sasa hana mume ila kazalishea watoto wawili baba tofauti. Au mmoja wako mzee?
Yule wa kwangu ana msambwanda mkubwa, alizalishwa mtoto na jamaa mwingine, mimi nikamuongezea wa pili
 
Hivi hapa kuhisi hufai mbele za MTU nikwamba ww unajiona kama utamtesa ktk Nyanja mfano,zauchepukaji au kumkosea heshima or whatever,au unamaana gani hasa hapa mkuu
Ni kiburi tu kutaka kujifanya anajua kuliko MUNGU. We hadi mtu anakufuata lazima ujiulize ametokea wapi na amekujaje hapo kwako na bado moyoni mtu anaomba akutane natu ataempenda kwa dhati.

Sometimes mtu anaweza hisi kuwa ana misimamo na maamuzi yake kumbe ni shetani anakupa kiburi ili umtumie usiolewe uwe malaya ulale na kila anae kuvutia uzae zae hovyo na wanaume tofauti kama nguruwe kutuletea damu ya mabastard kwenye jamii. Faken kabisa yaani.
 
Daah umenifanya nicheke mleta uzi, asee kuna mdada alikuwa shemeji yangu(nilikuwa nadate na dada yake). Mara akaanza kuniletea habari sio nikawa namtolea nje na kumpa ushauri kadhaa kuhusu maisha yake ya mbeleni na atie bidii katika masomo(kipindi hicho alikuwa form six). Kwa muda wa miaka kama mitano hatukuwahi kuwasiliana hivi juzi kanitafuta ananiambia kashinda umiss mkoa X. Ananitambia mpaka basi amasema mimi sikuona uzuri wake ila jamii imeuona nilibaki kucheka sana.
🤣🤣
 
After that akanimute whatsapp ili nisione status zake, soon after akaniblock kabisa. Sikureact kivyovyote, nikavunga.

Hii mbinu ya ku-mute status huwa wanakuwa na maana gani behind the scene..?? Lengo lao hasa huwa nini...?? au ndio kutapatapa...

Wanaamini usipoona status zao kuna jambo utalikosa au ni vipi..??? Heheheh Wanawake bhana..
 
Johary bana, hakuwa msichana wa kwanza kwangu ila moyo uliegemea sana kwake na hayupo nitakaempenda kama Johary.

Utoto wetu kipindi iko sikuwahi kumpa hata senti kumbe mwenzangu mbali na utoto ila aliijua hela mapema, akampata mshikaji fulani akampa mimba ikiwa bado yupo shule , kidato cha tatu.

Akakimbia mji yeye na bwana ake , direct to arusha, nikapiga kifua nikamsahau kabisa nikaanza kwenda kwa wale wa cash , kipindi anaondoka niliishia kupata busu tu ila mbususu sikufanikiwa kabisa.

Nikiwa chuo , mwaka wa pili , aliomba namba zangu mpya kwa wana akaanza kunicheki mara oooh nipo arusha kimwili ila moyo Uko kwako bado nakupenda sana jpo nilikusaliti kisa hela.

Kidume nikawa namchora ila namuambia poa mimi nipo kwaajili yako, siku ukija dar basi tuonane.
Ikawa ni hivyo mara bwana ake akajagundua na akanipigia simu na kunipiga mikwara mingi.
Dah nikamchana sana kuwa aliniibia mali yangu ila fresh, Mimi nishamuachia, ikawa charting zetu ni nadra sana.

Baada ya siku na majuma kadhaa akaja kuniambia ameondoka kwa bwana ake hivyo yuko free kuwa na mimi , anahitaji nitume nauli aje dar , tuishi wote ilihali ana mtoto, kidume nikawa nampanga daily.

Mara akasema kapata kazi anakuja dar hivyo tutakuwa tunaonana sana na pia atabaki kuwa mpenzi wangu ila siku nikiwa tayari nimuoe

Niko zangu chuo , ananipigia simu yuko kawe niende tuonane, naenda namkuta bar ya LAROCA pale kawe , yeye ni muhudumu.

Dah niliumia sana , nikaagiza misosi tukala but Demu kawa kisu hatari ila ni mlevi hatari , mida ya night nikachukua room kwa mara ya kwanza nikamla niliyempenda sana , mornie nikarudi magetoni ila kwenye purukushani za pale bar, nilikuja kujua anajiuza pia.

Ikawa si kesi tukaendelea kulana sana mpaka nikamvuta geto mazima hapo mtoto alimwachia dada yake arusha.

Mara akaanza kusema nimtafutie kazi nzuri, kidume nilitumia sana hela kuhonga sehemu apate kazi akapata, jioni narudi namuambia kuna kaxi imepatikana hivyo kesho unahitajika nikupeleke mambo mengine yaendelee , Demu akadai ashaghairi amepata kaxi arusha hivyo nimpe nauli arudi arusha.

Niliumia tena sema nikampa nauli na alipoondoka nikaja jua alimfuata bwana ake mwengine merelani hivyo nikafuta namba na block juu

Ila namkumbuka malaya yule alikuwa anajua kunako sita kwa sita, naambiwaga ananitafuta sana ila ndiyo hvyo nilishamsahau .

Johary , uliniongezea nguvu ya kununua wadada sana , pole kwa ugumu unaopitia mimi sikupendi tena labda nikununue maana yupo ninayempenda sasa.[emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Ila wanaume wengi wamejiingiza kwenye haya mambo ya kununua wanawake sababu ya matukio ya girlfriend zao
 
Back
Top Bottom