The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
- Thread starter
- #21
Saivi unatembea nayoo au sioHiyo nyimbo ilikua haijatoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saivi unatembea nayoo au sioHiyo nyimbo ilikua haijatoka
Ulikwepa vyuma mkuu[emoji23][emoji23] au ulinasa ukachomoa.Mimi nina tu visa twingi miaka imepita ila kuna mmoja tu najua alitoroka kwao akaenda olewa mimi sikuepo huko nyumbani niko zangu masomoni, aliolewa huko Katavi kwa kina MAYOMBI..
Huyu alinipiga kitu kizito kichwani ndiyo nikiwa nakaribia kumaliza paper langu la mwisho chuoni, daah sitasahau nikiri tu yakua nlkua nampenda sana basi tu haikua ridhiki.. Angelisubirigi hata nimalizage mtihani tu make si kwa maumivu yale afu mnyama UE yupo mbele umebaki muda wa lala salama..
😂😂😂Uungwana ni kitu cha bure mi nilijiona simfai nikaamua kumkataa kiroho safiAiseee hii ndo mkataa pema pabaya pamuitaa au hadi huko Bado ni kwema [emoji1]
Wanachagua fungu liliojemaaaWanawake wengi wanaangukia pua kwenye swala la ndoa...Yani uruka mikojo na kukanyaga mavi.
Hata kumliaa pesa zake hakunaa[emoji23][emoji23][emoji23]Uungwana ni kitu cha bure mi nilijiona simfai nikaamua kumkataa kiroho safi
Sina hulka hiyo, sijui kufanya ulaghai bado nina hali ya ubinadamu ktk moyo wanguHata kumliaa pesa zake hakunaa
Wapo kama watatu hivi, ila kuna huyu mmoja aliamua kuniacha kwasababu alizojua mwenyewe.Habarini ndugu zangu, hongereni na poleni kwa majukumu yetu ya kila siku.
Bila kupoteza muda, katika maisha kuna kipindi tunajikuta tunapendwa na wenzetu wa jinsia tofauti, hivyo wanatumia approaches mbalimbali kuweza kutupata. Lakini, yote ya yote tunaishia kuwachomolea mbali kwa sababu ambazo zinaweza kuwa ni kuwa kwenye mahusiano kwa wakati huo, kutokuwa tayari kuwa kwenye mahusiano, KUTOKUKUBALIWA tu jinsi ulivyo etc.
Nilikwepa vyuma bana ila alinifunza kitu..Ulikwepa vyuma mkuu[emoji23][emoji23] au ulinasa ukachomoa.
Hawa watu sio waku commit sana Mzee utakuja haribu mambo ya msingi sababu yao
Binafsi naamini sikuletwa kwenye hii dunia kuliwaza watu wasionijali.
Hongera mkuuSina hulka hiyo, sijui kufanya ulaghai bado nina hali ya ubinadamu ktk moyo wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapo kama watatu hivi, ila kuna huyu mmoja aliamua kuniacha kwasababu alizojua mwenyewe.
After that akanimute whatsapp ili nisione status zake, soon after akaniblock kabisa. Sikureact kivyovyote, nikavunga. Kuna mdogo wangu mmoja wa kiume ndio akawa ananiambia, huyu jamaa aliyepostiwa na fulani ndio bwana wake mpya? Nikawa na mjibu, yawezekana ndio huyo (sikutaka kumwambia dogo kuwa demu aliniblock wala sio i status zake).
Baada ya miezi 5, dogo ananiambia "Shem (yule demu) siku hizi naona anaweka status za ushauri na majonzi, vipi amezinguana na jamaa yake? Me nikawa najibu kuwa sina uhakika.
Kuna siku akanitext kwa nomo msg, nikareply vizuri tu, hatukuchat sana zaidi ya salamu. Siku nyingine akanipigia cm kwa namba ngeni ila sikupokea, kwenye kuchat ndo akajitambulisha kuwa ni yeye alikuwa ananisalimia tu. Ghafla from nowhere nikaanza kuona status zake ( inaonekana aliamua kuni unblock). Nikawa nazikaushia, then nikaweka ile setting kwamba nikiview status zake tu, isioneshe kama nimeview. Nilipoona dalili zinaonesha kuwa mahusiano yake mapya yamezingua, nikaamua kumblock kote na kufuta namba yake rasmi. Binafsi naamini sikuletwa kwenye hii dunia kuliwaza watu wasionijali.
From that day, sijawahi kujua alipo au anaendeleaje. Hata mdogo wangu nae alipotezaga simu, so hajui chochote kuhusu yeye.
Wanakusubiri ureverse mawazo yako labda mtakuwa pamojaaa[emoji23]Haha sijui wako wapi
Safi mkuu Hawa sio wakuendekeza sanaNilikwepa vyuma bana ila alinifunza kitu..
Eti watarajiwaNaomba nikukope hii line..
Cc Ma ex waliotangulia na watarajiwa..
Kwa bahati mbaya wanaangukia pua...Wanachagua fungu liliojemaaa
Hawezi nifata, maana hajui niko sehemu gani exactly, zaidi ya kujua tu jina la mkoa niliopo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah kaka ulifanya kiume sana hapo, na hajawahi kukufata home akuombe radhi
Naweza sema ni mwanaume aliyenipenda kuliko wanaume wote niliowahi tongozwa ama kuwa nao kimahusiano, ila moyo wangu kwake ukawa mzito hakushtua hisia zangu na kwa maadili na wema wake kwangu nikaona iko siku nitamuumiza na kuweka kumbukumbu mbaya kwake, nikamkataa,,, Kuna wakati ilikuwa karibu kabisa anioe,
mwaka huu Feb nikachomoa mazima, alisikitika mno,,........ Baada ya muda mama Samia akamlambisha uteuzi, kila la heri kwake
Ndo hivyoHehehehe kwa hiyoo