Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

Wivu wa Nini hapo na wewe D, sina utoto huo, saiv kakalia kiti teule itakuwa kampata wa kupendana nae, sijawasiliana nae muda mrefu tangu nimpongeze na uteuzi basi sijamtafutaga tena
Haya mama
 
Wakati niko chuo undergraduate, nilikuwa naamini katika kupata mke wa kuoa chuoni. Basi nikaanza pilikapilika. Enzi hizo akina dada wachache university. Kulikuwa na 3 niliokuwa naona wananifaa. Jaribu jaribu, wapiiii. Hakuna kitu. Wanaonipenda, siwapendi. Ninaowapenda, hawanipendi. Basi nikamaliza chuo hivyo hivyo, kibingwa bingwa. Nilivyokuwa postgraduate ndio nikapata mweza. Sasa wale warembo 3 nilikuwa natafuta mmoja wapo - wawili ni ma-single mother mpaka leo, mmoja ndiye alifanikiwa kuolewa.
 
D alinipenda sana,alinipenda na nilijua kabisa kua ninapendwa sana.
Mwanzoni sikumkubali na swaga zake ila baadae nikaja kumpenda sana.

Alipojua kua nampenda sana na sifurukuti kwake,akachukulia kawaida na akabadilika tukaachana.

D nakutakia kila lenye kheri ukampate mwanamke sahihi wa maisha yako.

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
love is a beautiful thing dont get twisted, Kila la heri huko aliko ... kuna mtu kanmbia love cycle
 
Mkwara niliochimbwa na mumewe, sitajaribu hivi karibuni kuwasiliana na huyu ex wa Chanika. Lakini walau tulitimiza tulichoshindwa wakati tukiwa huru!
Mbususu ililiwa sioooo
 
Back
Top Bottom