The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
- Thread starter
- #61
Daah mkuuuu kama nakuona ulivofurahi kuwaona single mom, utakuwa unajisemea kiburi chenu kiliwaponzaWakati niko chuo undergraduate, nilikuwa naamini katika kupata mke wa kuoa chuoni. Basi nikaanza pilikapilika. Enzi hizo akina dada wachache university. Kulikuwa na 3 niliokuwa naona wananifaa. Jaribu jaribu, wapiiii. Hakuna kitu. Wanaonipenda, siwapendi. Ninaowapenda, hawanipendi. Basi nikamaliza chuo hivyo hivyo, kibingwa bingwa. Nilivyokuwa postgraduate ndio nikapata mweza. Sasa wale warembo 3 nilikuwa natafuta mmoja wapo - wawili ni ma-single mother mpaka leo, mmoja ndiye alifanikiwa kuolewa.