Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakaza balaa mchizi wangu
Basi tubaki Na nyie tu
Aiseeee kumbe D ni mdada, haya mambo yakutoangaliaa Profile unaweza muita mdada kaka ukatumiwa radi buree
 
Fungu nililopata ni mara kumi zaidi ya hiyo, Basi tu roho yangu iliona simfai kuwa nae. Kuna wanaume ni wema mpaka unahisi umekutana na malaika.
Kwahiyo kama hautaki mwanaume mwema maana yake unataka wa aina gani?! Aiseeee sasa naelewa kwann wazazi zamani walikuwa wanapoint wanaume wa kuoa binti zao maana akili zenu mnajua wenyewe. Halafu huko ulikokwenda ukizinguliwa unaanza mapambio kuita wanaume wote mbwa kumbe unasahau mbwa huwa zinatafuta mbwa wenzao. [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

Umenikera kama uwe karibu nikulabue mambata ya mgongoni matano nijisikie vizuri. Msyuuuuuuuu
 
Nipo nasoma huu uzi nashangaa na sms yake ya kunisalimia inaingia muda huu. Ni miaka 8 sasa imepita.
 
Kwahiyo kama hautaki mwanaume mwema maana yake unataka wa aina gani?! Aiseeee sasa naelewa kwann wazazi zamani walikuwa wanapoint wanaume wa kuoa binti zao maana akili zenu mnajua wenyewe. Halafu huko ulikokwenda ukizinguliwa unaanza mapambio kuita wanaume wote mbwa kumbe unasahau mbwa huwa zinatafuta mbwa wenzao. [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

Umenikera kama uwe karibu nikulabue mambata ya mgongoni matano nijisikie vizuri. Msyuuuuuuuu
😂😂😂, Kuna comment nimeelezea kwa urefu kidogo, ni story ndefu kiasi ila mwisho wake ndo huo, sio dhambi kumkatalia mwanaume, kuishi na mtu kwa huruma sio mapenzi kuna gharama yake na sina tabia za kitoto eti kutendwa nikaita wanaume wote mbwa huwa napambana na langu sipendi kumpa lawama asiehusika na matatizo yangu, zipo nyakati nilianguka nilikosea lkn nilisimama kulipia gharama za makosa yangu pasipo kumkera mtu, Nina amani na maamuzi yangu kwahiyo tulizana bro
 
Habarini ndugu zangu, hongereni na poleni kwa majukumu yetu ya kila siku.
Mie nimekataa wengi tu. Sababu ni kuwa mie napenda warembo sana. Ila huwa mwisho wa siku wanajiona sana na sio wachapa kazi na wanatumia $$ kwa fujo. Hivyo Nawapiga chini. Wa kwanza kumkataa, NI YEYE ALINIKATAA KWANZA. Nilimpenda sana tokea na miaka 18 Nikamweleza penzi langu kwake.. ila akanikataa.

Nikaenda abroad nikiwa na miaka 19 nikashika $$$ mbaya. Nikarudi bongo, akanikubali. Tukawa wapenzi kwa kama 1 year, then nikamkataa. Sababu ya kumwacha nilimwambia anijibu kwa nini sasa ananipenda na hapo awali kabla sijashika $$$ hakunipenda. Akahuzunika na kuumia sana. Yeye sasa ni Lecturer/ Professor Muhas.
 
[emoji23][emoji23][emoji23], Kuna comment nimeelezea kwa urefu kidogo, ni story ndefu kiasi ila mwisho wake ndo huo, sio dhambi kumkatalia mwanaume, kuishi na mtu kwa huruma sio mapenzi kuna gharama yake na sina tabia za kitoto eti kutendwa nikaita wanaume wote mbwa huwa napambana na langu sipendi kumpa lawama asiehusika na matatizo yangu, zipo nyakati nilianguka nilikosea lkn nilisimama kulipia gharama za makosa yangu pasipo kumkera mtu, Nina amani na maamuzi yangu kwahiyo tulizana bro
Naomba niku dedicate wimbo wa Beyonce - I wish u were my first love
 
Wivu wa Nini hapo na wewe D, sina utoto huo, saiv kakalia kiti teule itakuwa kampata wa kupendana nae, sijawasiliana nae muda mrefu tangu nimpongeze na uteuzi basi sijamtafutaga tena
Inaonekana roho ilokuuma sana
 
Back
Top Bottom