The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
- Thread starter
- #141
Yeaah ndomana ,fanye mpango irudi as a courtesy demandNimebadili picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeaah ndomana ,fanye mpango irudi as a courtesy demandNimebadili picha
TayariKweli kaka Hadi mie nimeona hivo ile avatar irudi
Bónîtó[emoji4]Tayari
kumbe ni mmoja tu?Hata sijui yuko wapi.
Wale manahodha waliozamisha meli kisa muwa umewaponza au?Haha sijui wako wapi
We delegate to you that requestFungueni na uzi wa ambao hatujawahi kugandwa
Hivi hapa kuhisi hufai mbele za MTU nikwamba ww unajiona kama utamtesa ktk Nyanja mfano,zauchepukaji au kumkosea heshima or whatever,au unamaana gani hasa hapa mkuuFungu nililopata ni mara kumi zaidi ya hiyo, Basi tu roho yangu iliona simfai kuwa nae. Kuna wanaume ni wema mpaka unahisi umekutana na malaika.
Ana swaga za kichungaji sana,, ningechepukaHivi hapa kuhisi hufai mbele za MTU nikwamba ww unajiona kama utamtesa ktk Nyanja mfano,zauchepukaji au kumkosea heshima or whatever,au unamaana gani hasa hapa mkuu
Wapo kama watatu hivi, ila kuna huyu mmoja aliamua kuniacha kwasababu alizojua mwenyewe.
After that akanimute whatsapp ili nisione status zake, soon after akaniblock kabisa. Sikureact kivyovyote, nikavunga. Kuna mdogo wangu mmoja wa kiume ndio akawa ananiambia, huyu jamaa aliyepostiwa na fulani ndio bwana wake mpya? Nikawa na mjibu, yawezekana ndio huyo (sikutaka kumwambia dogo kuwa demu aliniblock wala sio i status zake).
Baada ya miezi 5, dogo ananiambia "Shem (yule demu) siku hizi naona anaweka status za ushauri na majonzi, vipi amezinguana na jamaa yake? Me nikawa najibu kuwa sina uhakika.
Kuna siku akanitext kwa nomo msg, nikareply vizuri tu, hatukuchat sana zaidi ya salamu. Siku nyingine akanipigia cm kwa namba ngeni ila sikupokea, kwenye kuchat ndo akajitambulisha kuwa ni yeye alikuwa ananisalimia tu. Ghafla from nowhere nikaanza kuona status zake ( inaonekana aliamua kuni unblock). Nikawa nazikaushia, then nikaweka ile setting kwamba nikiview status zake tu, isioneshe kama nimeview. Nilipoona dalili zinaonesha kuwa mahusiano yake mapya yamezingua, nikaamua kumblock kote na kufuta namba yake rasmi. Binafsi naamini sikuletwa kwenye hii dunia kuliwaza watu wasionijali.
From that day, sijawahi kujua alipo au anaendeleaje. Hata mdogo wangu nae alipotezaga simu, so hajui chochote kuhusu yeye.
Kula mbussu hiyo weye sii inajileta yenyeweBinti mmoja nilimpenda alinipenda toka tupo advance adi tunamaliza.sikufanikiwa kuendelea mbele niliishia 6 na yeye hakufanikiwa tukaendelea na mahusiano tulivo Rudi mtaani akaanza kupendeza,kujua mji,clubs,viwanja kwa sana marafiki wapenda bata wakawa wakwake vitimbwi/visa vikaanza akaniweka chonjo na kunitukana na block nakufuta namba zangu kisa kipindi hicho sina maisha bado nipo home akapata bishoo mmoja walikutana club moja hivi akaona amepata mwanaume kisa yule dogo kaka ake ni msanii mkubwa hapa Tz akamdanganya kuwa wazae wataoana na kuishi pamoja mixer wakiitaji kutoka dogo anakuja kumchukua bibie na mkoko wanaingia viwanja baada ya yule bishoo kumjaza yule bi dada akala kona hatoi pesa ya matunzo ili kulea ile mimba akakonda sanaaa baada ya kujifungua jamaa akawa haudumii yani hadi bibie amsemee kwa kaka akee ndo anatoa pesa huwezi amini alinianfolllow IG,na kuniblock everywhere akanianblock na kunitafuta tena akinililia turudiane nimuoe kabisa nikampa makavu now nina life langu na mtoto so nna mtu na tunamipango ya kuoana hadi leo hii ananisumbua whatsapp,normal txt/calls Turudiane japo kiwizi wizi.
Mlimtoa?Ameoa na ana familia... nabaki ku wish mtoto wetu angekua secondary school sasa 😁😁😁
Wapo kama watatu hivi, ila kuna huyu mmoja aliamua kuniacha kwasababu alizojua mwenyewe.
After that akanimute whatsapp ili nisione status zake, soon after akaniblock kabisa. Sikureact kivyovyote, nikavunga. Kuna mdogo wangu mmoja wa kiume ndio akawa ananiambia, huyu jamaa aliyepostiwa na fulani ndio bwana wake mpya? Nikawa na mjibu, yawezekana ndio huyo (sikutaka kumwambia dogo kuwa demu aliniblock wala sio i status zake).
Baada ya miezi 5, dogo ananiambia "Shem (yule demu) siku hizi naona anaweka status za ushauri na majonzi, vipi amezinguana na jamaa yake? Me nikawa najibu kuwa sina uhakika.
Kuna siku akanitext kwa nomo msg, nikareply vizuri tu, hatukuchat sana zaidi ya salamu. Siku nyingine akanipigia cm kwa namba ngeni ila sikupokea, kwenye kuchat ndo akajitambulisha kuwa ni yeye alikuwa ananisalimia tu. Ghafla from nowhere nikaanza kuona status zake ( inaonekana aliamua kuni unblock). Nikawa nazikaushia, then nikaweka ile setting kwamba nikiview status zake tu, isioneshe kama nimeview. Nilipoona dalili zinaonesha kuwa mahusiano yake mapya yamezingua, nikaamua kumblock kote na kufuta namba yake rasmi. Binafsi naamini sikuletwa kwenye hii dunia kuliwaza watu wasionijali.
From that day, sijawahi kujua alipo au anaendeleaje. Hata mdogo wangu nae alipotezaga simu, so hajui chochote kuhusu yeye.
✍🏻✍🏻👏🏻👏🏻👏🏻 makini saana mkuuBinafsi naamini sikuletwa kwenye hii dunia kuliwaza watu wasionijali.
Hii movie namiee nahisi ntakuja isimulia siku mojaNilimfata kiheshima nikamueleza nataka kumuoa, akaniambia lazima akamuulize Mungu, nikaheshimu hilo, nikamuelewa kua sili papuchi mpaka nimuoe (Tumeokoka)
Mawasiliano ya kawaida yakaendelea nikisubiri jibu, baada ya mwezi akaanza dharau, meseji inakaa masaa 23 ndo anajibu,simu haipokelewi, ukimuuliza anadai yuko bize.
Nikavumilia nikijisemea labda ni maringo tu ya kike, lakini alifika hatua nikajua tu huyu analeta dharau, na wala sio maringo, siku nikamuuliza unaendeleaje na maombi?
Akaniambia yeye sahivi hataki kuolewa anataka kwenda chuo kuongeza elimu (which is understandable) ila najua hana wa kumsomesha na mimi nilimwambia tukioana unaweza soma vizuri tu, ila siwezi somesha mchumba, but kona zikawa nyingi, mwisho akasema hayupo tayari kwasasa, tukaagana kiroho safi.
Baada ya miezi kadhaa, akaanza kuwasumbua watumishi wakaribu waniambie ananipenda, kisa amesikia nimepata mtu na tufunga ndoa soon, uvumilivu ukamshinda akaanza nitafuta akiwa mkarimu na mcheshi sana.
Nikamueleza ukweli, kwamba jumbe zake nazipata ila kachelewa mimi ninamtu tayari hivyo aangalie ustaarabu mwingine, alivyo waajabu akadai wale watumishi hawakumuelewa vizuri eti yeye aliwambia ananipenda "Kipendwa" nikacheka sana.
Sahivi anatumaga tu meseji sijibu.