Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

Mkuu haijakuumaaa maana najua leo ungeitwa mama Mh
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimewaza tuuu
Nilikataa kwa utashi wangu, kwanini niumie, isitoshe nilipo saiv ni pazuri zaidi ya yeye, ananizidi umaarufu na ile heshima ya kiserikali na kisiasa,

-Ningemuumiza hivyo nilitumia uungwana kukataa ombi lake
-Nina majukumu mengi kifamilia, sikutaka kumbebesha majukumu hayo, mnajijua waafrika na gubu zenu
-Kwa historia yake hana makando kando mengi ktk mahusiano,, wanaume wa hivi ni rahisi Sana kubabaika na wanawake akizifuma

Kwa roho nyeupe kabisa namtakia mema yote na ampate wa kukidhi haja yake, story ndefu niliwahi hata kumtabiria hayo aliyonayo na Ni mwanzo tu atapata nafasi kubwa zaidi ya aliyonayo sasa
 
kumbe bado hajapata?? sindo uwa connectishe wengine sasa
 
Wewe nimeshakujibu siwezi toa namba ya mtu humu mtandaoni wa wasiojulikana, halafu sidhani km atakosa mtu saiv papuchi zitakuwa zinamnyemelea ile mbaya
 
ahahahahah sawa mkuu ngoja atafune mbususu
 
Wewe nimeshakujibu siwezi toa namba ya mtu humu mtandaoni wa wasiojulikana, halafu sidhani km atakosa mtu saiv papuchi zitakuwa zinamnyemelea ile mbaya
Huyo mwanaume ananyemelewa na papuchi zinazompendea hela Noelia
 
Back
Top Bottom