Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

Ulikwepa vyuma mkuu[emoji23][emoji23] au ulinasa ukachomoa.

Hawa watu sio waku commit sana Mzee utakuja haribu mambo ya msingi sababu yao
 
Wapo kama watatu hivi, ila kuna huyu mmoja aliamua kuniacha kwasababu alizojua mwenyewe.

After that akanimute whatsapp ili nisione status zake, soon after akaniblock kabisa. Sikureact kivyovyote, nikavunga. Kuna mdogo wangu mmoja wa kiume ndio akawa ananiambia, huyu jamaa aliyepostiwa na fulani ndio bwana wake mpya? Nikawa na mjibu, yawezekana ndio huyo (sikutaka kumwambia dogo kuwa demu aliniblock wala sio i status zake).

Baada ya miezi 5, dogo ananiambia "Shem (yule demu) siku hizi naona anaweka status za ushauri na majonzi, vipi amezinguana na jamaa yake? Me nikawa najibu kuwa sina uhakika.

Kuna siku akanitext kwa nomo msg, nikareply vizuri tu, hatukuchat sana zaidi ya salamu. Siku nyingine akanipigia cm kwa namba ngeni ila sikupokea, kwenye kuchat ndo akajitambulisha kuwa ni yeye alikuwa ananisalimia tu. Ghafla from nowhere nikaanza kuona status zake ( inaonekana aliamua kuni unblock). Nikawa nazikaushia, then nikaweka ile setting kwamba nikiview status zake tu, isioneshe kama nimeview. Nilipoona dalili zinaonesha kuwa mahusiano yake mapya yamezingua, nikaamua kumblock kote na kufuta namba yake rasmi. Binafsi naamini sikuletwa kwenye hii dunia kuliwaza watu wasionijali.

From that day, sijawahi kujua alipo au anaendeleaje. Hata mdogo wangu nae alipotezaga simu, so hajui chochote kuhusu yeye.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Daaah kaka ulifanya kiume sana hapo, na hajawahi kukufata home akuombe radhi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Daaah kaka ulifanya kiume sana hapo, na hajawahi kukufata home akuombe radhi
Hawezi nifata, maana hajui niko sehemu gani exactly, zaidi ya kujua tu jina la mkoa niliopo.
 

Hehehehe kwa hiyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…