Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Umenichekesha au aende soko la samaki,afu hio kny picha sio courgett (sijui spelling)
Nahisi safari hii ataibukia kwa mama lishe pale Magufuli Bus Station akipiga wali samaki[emoji1787][emoji1787]
IMG_20210309_211523.jpg

Halafu hayo madude hata siyajui mkuu, ngoja waje wataalamu watatupa majibu sahihi.
 
Sio lazima kujibu kila tetesi, utajibu ngapi?
Wabongo kila siku wanastory mpya ukianza kujibizana nao utaishia kufanya kazi hiyo tu mwaka mzima.
Jinsi Rais wetu tunavyo mfahamu huwa haipiti week lazima tungemsikia, so ukimya huu lazima watu wahoji aseee, we upo dunia ipi?

Jumapili hatukuonana naye kanisani st.peter Jumatatu angekuwa kigoma kwenye mradi wa kimkakati na kesho ilitakiwa awe Dodoma kupandisha vyeo maafisa wa jeshi.

Now unaposema tetesi zisipewe nafasi wakati uhalisia unaonekana something wrong kuhoji muhimu sana.

👉🏾 Nashukuru muanzisha mada ameachwa, maana nilikuwa nawaza sana juu ya mada kama hii moderators hawawezi kuiacha salama au kupigwa burn kabisa.
 
Kuna jamaa angu yuko Nairobi ananiambia Nairobi Hospital hakuingiliki kabisa, haijulikani kuna nini ila ulinzi wa pale haijawahi tokea, wagonjwa wanashauriwa kwenda Hospitali zingine.
Yaani una maana hospitali kubwa kama KNH inakataa kupokea wagonjwa kwa sababu yupo Magufuli! Yaani huo ni uongo kupita kiasi. Mtamuombea ugonjwa mtaugua nyie, mtamuombea kifo mwishjo mtakufa nyie. Acheni uzushi na chuki!
 
Swala la ugonjwa wa mtu lisiwe jambo la kushadadia jamani, this is sad..
Hivi hapa kuna mtu aliyesema anafurahia Rais kuumwa?

1) Kwanza hakuna uhakika kuwa yu mgonjwa

2) Pili, watu wamekuwa wakiuliza kukosekana kuonekana kwa Rais mfululizo kwa karibia wiki 2 kutokana na mazoea, maana si kawaidi zipite siku 2 vyombo vya habari bila ya kumwonesha Rais Magufuli akifanya jambo fulani

3) Hii ya kusema Rais kapelekwa Kenya kwa matibabu, ni mpya sana. Inawezekana, japo mimi binafsi siamini

4) Namwunga mkono Mwanakijiji, kuitaka Serikali itueleze ukweli ni upi? Kama kweli anaumwa, wananchi tuambiwe, na wenye kumwombea afya njema, waweze kufanya. Ukimya husababisha gossiping.
 
Kuna jamaa angu yuko Nairobi ananiambia Nairobi Hospital hakuingiliki kabisa, haijulikani kuna nini ila ulinzi wa pale haijawahi tokea, wagonjwa wanashauriwa kwenda Hospitali zingine.
Hivi Nairobi hospital ni ya serikali kama Muhimbili au ni zile za Agakhan?
 
Sio lazima kujibu kila tetesi, utajibu ngapi?

Wabongo kila siku wanastory mpya ukianza kujibizana nao utaishia kufanya kazi hiyo tu mwaka mzima.
Ifike mahali wakizusha ikabainika sio kweli wakione cha mtema kuni

Walimzushia Sabaya, kaonekana mzima hana hata dalili na bila aibu wapo tu wanadunda
 
Sio lazima kujibu kila tetesi, utajibu ngapi?

Wabongo kila siku wanastory mpya ukianza kujibizana nao utaishia kufanya kazi hiyo tu mwaka mzima.
Mbona ya Mpango ilijibiwa ki style... hata ile ya kwanza alijibu si unakumbuka he was weak lkn ikabidi aje kuapisha. All in all kuwa mgonjwa haimaanishi u r weak.. ni binadamu na tuna haki ya kikaktiba kujua hali ya amiri jeshi mkuu wetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom