Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,433
- 3,210
Kama hii ni kweli, Watanzania wote tuna wajibu wa kumuombea kwa Mola aweze kupona kwa haraka na kuendelea na shughuli zake kama zamani - Taifa letu bado linamuhitaji sana binadamu huyu ambaye ame idhilishia Dunia katika uwezo wake kikazi, uwajibikaji na uongozi uliyo tukuka.
Wewe umeshasema ni uongo ndio maana nimekuuliza ukweli ni upi?Sijui, kwani bila hivi viwanda vya uongo tungefikia huku mkuu?
Mkuu mbona hakuna anayeuliza ule uzushi kwa Sabaya vipi? Kama hizo source zilishare famba kwa Sabaya wataweza kwa mkuu wa nchi?Kaaamua kuvunga kidogo watu maneno kibao yanatutoka, yule mzee ni mzima kabisaaa
Mkuu mbona hakuna anayeuliza ule uzushi kwa Sabaya vipi? Kama hizo source zilishare famba kwa Sabaya wataweza kwa mkuu wa nchi?
Mficha maradhi kifo humuumbua. Wahenga walisema.
Usiwe na wasiwasi. Msaidizi wa Zumbe Mkuu alitoa udhuru kwamba yupo kwenye shughuli maalum.Watuambie alipo na Spika wetu mpendwa Job Ndugai.
Yapata mwezi sasa hajaonekana.
Unakumbuka alikuwaje usoni?Mwaka jana mlisema kakimbizwa German ghafla, iliishia wapi ile story?
Ana maadui wa ndani na nje wengi kuliko awamu zilizopita ukitoa nyerereMkuu Kikwete alipolazwa Marekani habari iliwekwa hadharani, Mkapa alipolazwa Switzerland iliwekwa hadharani huyu jiwe ana nini hadi kuumwa kwake iwe ni KIFICHO kikubwa kiasi hiki?
Good questionVipi Sabaya ameshazikwa?
Yani TZ imelipia Hospitali Yote [emoji12][emoji23][emoji12][emoji23]Kuna jamaa yangu yuko Nairobi ananiambia Nairobi Hospital hakuingiliki kabisa. Haijulikani kuna nini ila ulinzi wa pale haijawahi tokea, wagonjwa wanashauriwa kwenda Hospitali zingine.
Wao wanaangalia chama chao tu!Ana maadui wa ndani na nje wengi kuliko awamu zilizopita ukitoa nyerere
Wao wanaangalia chama chao tu!