Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Wewe nae acha kujidanya, watu wengi sana wanatumia fecabook, habari wanazipata kama kawaida
Watu wengi sana maana yake nini? Mimi nazungumzia mitaani huko wewe bado upo kwenye mitandao.
 
Walikuonyesha kadi za hivyo vyama vya upinzani? Nyie kila anayehoji kitu mnasema ni mpinzani. kwani kuna shida gani kusema mzee ana mafua kidogo yupo na dozi ya kujifukiza. Kwani kuna shida?
Sasa hebu tumia akili ni mara ngapi anazushiwa mgonjwa au kafa? kwahiyo unataka iwe kazi ya kuzusha tu na serikali kujibu? serikali ina mambo mengi ya kufanya.

Kila anayehoji ni mpinzani na kila anayepongeza au kumuongelea zuri Magufuli ni ccm,ndio utamaduni mpya humu JF.
 
Based on Sabaya saga naamini hii ni another scam!

..kwa hiyo na wewe unaleta tetesi?

..nadhani ulitakiwa useme huna uhakika.

..binafsi nasubiri mpaka Jumapili kuona kama atahudhuria kanisani, au la
 
Mkuu kuna somo hujalipata vinginevyo una maslahi binafsi. Hiki ni kiwanda cha uongo, Mark my word! Nyie mnatumika tu huku mitandaoni! Achana na siasa za hivi ubakie na akili zako [emoji848]
Kwahiyo ukweli ni upi?
 
Usibadili somo wewe, Kijazi mlitangaza, Mpango mlitangaza na wote hawa walilazwa lakini mkapiga kimya. Kwa ufinyu wa akili yako but you are the one who is sick and big liar running away from the TRUTH.
Akijitokeza mtatuambia nini? Kuhusu Sabaya mmetuambia nini? You are sick! Nimempinga JPM alivyoenda kinyume na TEC lakini kwenye mambo ya kushangilia matatizo ya wengine ni uzwazwa! Mbaya zaidi hakuna mwenye ushahidi.
 
Tetesi zenu hazijakaa kitetesi, mnataka kuaminisha wananchi uzushi msio na ushahidi.

Unanionea unaposema tetesi "zenu". Hakuna mwenye uhakika kama bwana mkubwa amelazwa au hajalazwa. Lakini pia kuna watu ambao wanalipwa mishahara minono kwa kodi zetu ambao wanajukumu la kueleza ukweli kuhusu suala hili.
 
..Ni kweli.

..tusubiri kama serikali itaendelea kukaa kimya.

..Nairobi hospital wao wamekataa kuthibitisha wala kukanusha walipoulizwa.
Reply ya 'no comment' hubeba maana kubwa sana. Hivi kuna shida gani mamlaka za nchi kuliweka wazi hili?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom