Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Kwani we umekuwa Mungu? Watu wanapata matatizo zaidi ya hiyo cardiac attack na wanarudi hali yao kama kawaida. Sisi tunamuombea Rais wetu apone.
Inategemea mkuu. Mtu anayezunguka dunia kutafuta tiba, bila shaka hali yake ni nzito zaidi ya hao uliokwishaona wanatibiwa na kurudia hali nzuri .

Usiongope, hakuna anayerudia hali yake kwaida baada ya kupata janga hilo. Siijasema simwombei. Wewe unayejitangaza hapa huenda hufanyi lolote.
 
Hivi kuuliza rais alipo ni kuichafua nchi? Kuna wakati mwingine kujifanya unajua kila kitu hupelekea mtu kuonekana limbukeni.

Lissu kamjibu kwa kifupi sana kuwa, yeye Mwigulu ni kati ya watu wanaosubiri kufanya sherehe mambo yakiwa ndivyo sivyo, nafikiri limemuingia bara bara.
 
Seoul: South Korea on Friday said it was closely monitoring the whereabouts of the North Korean leader Kim Jong-un, who has been missing again from the public eye for three weeks.

On May 1, Kim Jong-un attended a ceremony to mark the inauguration of a fertilizer plant in Sunchon following a three-week absence from the public eye, putting an end to rumours that he was sick or dead, reports Efe news. Ka Jiwe katakuwa kanacheza ngoma kama ya Kim Jong Un! Subirini mje mkaone hadharani kakiapisha mtu! 😁😁😁😂😂😂😂😂
 
Mh waziri hana sababu ya kuwa mkali kwa maneno mengi. TL ataaibika ikiwa raisi ataonekana akiendelea na majukumu.

Tatizo sie watz tunadili na ishu ndogondogo sasa wao wanaulizia yupo wapi kiongozi wao simpo jibuni alipo sio kuanza mambo ya sheria mara uvunjifu wa amani sijui ndio mheshimiwa kajibu hivo.. anyway tuendelee kusaka mahela kwa ajili ya familia zetu
 
Ubaya hujawahi kuwa kiongozi.
 
Huruma ipi wewe? Hata sala za kumuombea Lissu zilipigwa marufuku, fulana za Lissu zilipigwa marufuku! ACHA UONGO WAKO!
Lissu alipopata matatizo watanzania wote tulimwonea huruma. Lakin yeye kumbe hana huruma kabisa. Hana ubinadamu.
 

Kikubwa hapa mheshimiwa angekaa kimya ili maisha yaendelee kwanini msemaji wetu hajaona hilo
 
Tatizo sie watz tunadili na ishu ndogondogo sasa wao wanaulizia yupo wapi kiongozi wao simpo jibuni alipo sio kuanza mambo ya sheria mara uvunjifu wa amani sijui ndio mheshimiwa kajibu hivo.. anyway tuendelee kusaka mahela kwa ajili ya familia zetu
True. Hakuna haja ya maneno mengi yasiyojibu swali la raisi alipo.
 
Niliwahi kusikia kuna siku ndugu Tundu Lissu akisema ya kwamba katika watu ambao wapo naye karibu wakimwambia mengi ya ndani ya CCM na serikali ni pamoja na wewe, na alisema ulikua ukimwambia hayo hua mnazungumza kama ndugu.

Sasa ndugu yangu huyo mtu kaa naye mbali atakuumbua na utaeleweka vibaya. Itaonekana unajihami watu wasikujue lakiniitakuharibia kama kweli akiamua kusema ambayo hua unateta naye kama kweli mnajuana vizuri.
 

Attachments

  • Screenshot_20210311-055359~2.png
    120.1 KB · Views: 3
Mwigulu ushukuru kitendo cha Tundu Lissu kuwa mgombea Urais, kwa kutumia theory ya divide and rule Magufuli aliamua kuwagawa wana Singida na wewe akakupa u Waziri ili usitoe ushirikiano kwa home boy wako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…