fundi chuma
Senior Member
- Oct 23, 2015
- 117
- 66
Sijawahi kulalamika maisha magumu.Asingepata muda wa kuja kubweka humu kila siku " Maisha magumu"
Huyo lissu aliwahi tuambia ndege imekamatawa Canada mkambishia mwisho mlikiri na hili mtakiri tu.It would be foolish to listen to someone thousands of miles away from Tanzania as a reliable source of information!
Watz wanakula mara 4 kwa wiki chai ni anasa, mtu akila leo hadi kesho kutwa ndo anakula sababu ya kamba ya kuisoma nambaMkuu maisha yamebadilika sana sasa hivi,mtu anakula akiwa na njaa na analala akiwa na usingizi,tofauti ya mchana na usiku kipindi hiki ni nuru na giza tu.
Naomba iwe hivyo kwani kuondoka kwake muda huu itakuwa ni huzuni kubwa kwetu na ushindi wa mabeberu na hasa kuhusiana na mambo ya corona.Watakuja kutuuzia madawa na kutuchanja kwa lazima.Rest assured. Kuna watu wanakwenda kuaibika soon.
H
Hii movie inachezwa ili watu waende segerea sio.Vijana fanyeni kazi hii nchi hamuijui inavyoendeshwa, hao walio nje ya nchi watawaponza, mtazolewa wote mwende segerea kwasababu za kipuuzi kabisa
Familia yako ndio itapata shida narudia tena familia yako ndio itapata shida
NB: Ikumbuke sheria ya mtandao halafu tafakari unachokiandika humu.
Watu Wana visasi kama vya waarabu, wanalipiza mpka kwa vitukuuMimi nadhani ifike mahali u bin Adam ushike nafasi yake.
Sisi ambao tumekulia na kulelewa katika dini tumeambiwa Jambo lolote ambalo usingependa likupate Basi usimtakie mwenzako yoyote limpate.
Kama ni kukosewa Basi amekosewa Mwenzezi Mungu kiasi ambacho hakuna kipimo kinachoweza kupima makosa hayo, lakini badala ya adhabu kutoka kwake Mungu imekua rehema.
Nae Mungu amesema Kama Mimi nilivyowasamehe nyinyi nanyi msameheane.
Akasema tena mpende na kumtakia mema yule anae waumizeni, yaani mtendee kinyume cheke yule anae kutendea baya.
Muombee asie kupenda, mpende anaekuchukia mtendee jema naekuudhi.
Hapo ndipo mtakapoonekana tofauti Kati ya wema na wabaya nae Mungu atakua upande wenu.
Badala yake Sasa sisi tumekua tukimtakia lililo baya kiongozi wetu katika nchi kisa yeye nae ametutendea mabaya, hii itapelekea wote kuhesabika Ni wabaya kwa namna hii.
Mungu ndie yupo juu ya wote na yote na vyote, hivyo Basi yeye atujuaye toka zamani atatutunzia yalio mema hata Kama tutapitishwa katika mabaya kiasi gani.
Haya yooooote yanayosemekana, yanayo hisiwa, yanayo takiwa kwa kiongozi wetu naomba yawe kinyume cheke AMINA.
Endelea kuicheza, huenda ukawa Sterling.Hii movie inachezwa ili watu waende segerea sio
Chawaaa, kwahiyo mtu akiuuliza Raisi yuko wapi ni kosa la kupelejwa segerea.Vijana fanyeni kazi hii nchi hamuijui inavyoendeshwa, hao walio nje ya nchi watawaponza, mtazolewa wote mwende segerea kwasababu za kipuuzi kabisa
Familia yako ndio itapata shida narudia tena familia yako ndio itapata shida
NB: Ikumbuke sheria ya mtandao halafu tafakari unachokiandika humu.
Umeelewa nilichoandika we pimbi?Chawaaa, kwahiyo mtu akiuuliza Raisi yuko wapi ni kosa la kupelejwa segerea.
Kuna sehemu nimeandika kuwa nachekelea au hata Nzige pia tufiche kama maraizi.Kwa iyo nchi hadi kuvamiwa na nzige unasikia raha ? ndio.maana chadema tuliwapiga chini mko zero kwenye uzalendo.Hata nzige tu kuvamia madhba ya watu.mnachekelea
Yaani wewe wapiga kura wako mashamba yao kuvamiwa na nzige unachekelea kama bwege.Kinachokupa raha hapo nini? Wapiga kura kufa njaa .Wewe shetani kabisa na lichama lako
weka link tafadhalikuna video moja ya nabii mmoja hivi iko huku jf ametabiri haya mambo na yanatimia kweli