Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Mkuu maisha yamebadilika sana sasa hivi,mtu anakula akiwa na njaa na analala akiwa na usingizi,tofauti ya mchana na usiku kipindi hiki ni nuru na giza tu.
Watz wanakula mara 4 kwa wiki chai ni anasa, mtu akila leo hadi kesho kutwa ndo anakula sababu ya kamba ya kuisoma namba
 
Vijana fanyeni kazi hii nchi hamuijui inavyoendeshwa, hao walio nje ya nchi watawaponza, mtazolewa wote mwende segerea kwasababu za kipuuzi kabisa

Familia yako ndio itapata shida narudia tena familia yako ndio itapata shida

NB: Ikumbuke sheria ya mtandao halafu tafakari unachokiandika humu.
 
Mimi nadhani ifike mahali u bin Adam ushike nafasi yake.
Sisi ambao tumekulia na kulelewa katika dini tumeambiwa Jambo lolote ambalo usingependa likupate Basi usimtakie mwenzako yoyote limpate.

Kama ni kukosewa Basi amekosewa Mwenzezi Mungu kiasi ambacho hakuna kipimo kinachoweza kupima makosa hayo, lakini badala ya adhabu kutoka kwake Mungu imekua rehema.

Nae Mungu amesema Kama Mimi nilivyowasamehe nyinyi nanyi msameheane.

Akasema tena mpende na kumtakia mema yule anae waumizeni, yaani mtendee kinyume cheke yule anae kutendea baya.

Muombee asie kupenda, mpende anaekuchukia mtendee jema naekuudhi.
Hapo ndipo mtakapoonekana tofauti Kati ya wema na wabaya nae Mungu atakua upande wenu.

Badala yake Sasa sisi tumekua tukimtakia lililo baya kiongozi wetu katika nchi kisa yeye nae ametutendea mabaya, hii itapelekea wote kuhesabika Ni wabaya kwa namna hii.

Mungu ndie yupo juu ya wote na yote na vyote, hivyo Basi yeye atujuaye toka zamani atatutunzia yalio mema hata Kama tutapitishwa katika mabaya kiasi gani.

Haya yooooote yanayosemekana, yanayo hisiwa, yanayo takiwa kwa kiongozi wetu naomba yawe kinyume cheke AMINA.
 
Rest assured. Kuna watu wanakwenda kuaibika soon.
H
Naomba iwe hivyo kwani kuondoka kwake muda huu itakuwa ni huzuni kubwa kwetu na ushindi wa mabeberu na hasa kuhusiana na mambo ya corona.Watakuja kutuuzia madawa na kutuchanja kwa lazima.
 
Vijana fanyeni kazi hii nchi hamuijui inavyoendeshwa, hao walio nje ya nchi watawaponza, mtazolewa wote mwende segerea kwasababu za kipuuzi kabisa

Familia yako ndio itapata shida narudia tena familia yako ndio itapata shida

NB: Ikumbuke sheria ya mtandao halafu tafakari unachokiandika humu.
Hii movie inachezwa ili watu waende segerea sio.
 
Mimi nadhani ifike mahali u bin Adam ushike nafasi yake.
Sisi ambao tumekulia na kulelewa katika dini tumeambiwa Jambo lolote ambalo usingependa likupate Basi usimtakie mwenzako yoyote limpate.

Kama ni kukosewa Basi amekosewa Mwenzezi Mungu kiasi ambacho hakuna kipimo kinachoweza kupima makosa hayo, lakini badala ya adhabu kutoka kwake Mungu imekua rehema.

Nae Mungu amesema Kama Mimi nilivyowasamehe nyinyi nanyi msameheane.

Akasema tena mpende na kumtakia mema yule anae waumizeni, yaani mtendee kinyume cheke yule anae kutendea baya.

Muombee asie kupenda, mpende anaekuchukia mtendee jema naekuudhi.
Hapo ndipo mtakapoonekana tofauti Kati ya wema na wabaya nae Mungu atakua upande wenu.

Badala yake Sasa sisi tumekua tukimtakia lililo baya kiongozi wetu katika nchi kisa yeye nae ametutendea mabaya, hii itapelekea wote kuhesabika Ni wabaya kwa namna hii.

Mungu ndie yupo juu ya wote na yote na vyote, hivyo Basi yeye atujuaye toka zamani atatutunzia yalio mema hata Kama tutapitishwa katika mabaya kiasi gani.

Haya yooooote yanayosemekana, yanayo hisiwa, yanayo takiwa kwa kiongozi wetu naomba yawe kinyume cheke AMINA.
Watu Wana visasi kama vya waarabu, wanalipiza mpka kwa vitukuu
 
Kuweni na amani yupo salama, Why Nairobi,India kimekosekana kipi Bongo? Wasaidizi watoe taarifa teuzi,sijui kwanini Bashiru asitoe ratiba mkuu,teuzi na kuapisha.
 
Vijana fanyeni kazi hii nchi hamuijui inavyoendeshwa, hao walio nje ya nchi watawaponza, mtazolewa wote mwende segerea kwasababu za kipuuzi kabisa

Familia yako ndio itapata shida narudia tena familia yako ndio itapata shida

NB: Ikumbuke sheria ya mtandao halafu tafakari unachokiandika humu.
Chawaaa, kwahiyo mtu akiuuliza Raisi yuko wapi ni kosa la kupelejwa segerea.
 
Daaah [emoji22][emoji22] so sad Tunaomba isiwe hivyo kama watu wengine wanavyotarajia hata kama humpendi ila kumuombea mtu mabaya sio Vizuri.
 
Umemuelewa lakini?
Wewe unawaelewa hawa?
Screenshot_20210311-121850.jpg
FB_IMG_1615453998537.jpg
 
Kwa iyo nchi hadi kuvamiwa na nzige unasikia raha ? ndio.maana chadema tuliwapiga chini mko zero kwenye uzalendo.Hata nzige tu kuvamia madhba ya watu.mnachekelea

Yaani wewe wapiga kura wako mashamba yao kuvamiwa na nzige unachekelea kama bwege.Kinachokupa raha hapo nini? Wapiga kura kufa njaa .Wewe shetani kabisa na lichama lako
Kuna sehemu nimeandika kuwa nachekelea au hata Nzige pia tufiche kama maraizi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom