Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Watu Wana visasi kama vya waarabu, wanalipiza mpka kwa vitukuu
Kweli kila mmoja wetu katika nyanja mbali mbali ana kisasi juu ya huyu mtu, lakini Bado anabaki kua binadamu Kama sisi mwe familia na watu wanaomtegemea, Ni vizuzi tungeacha alipwe kadiri ya anavyostahili na sio kwa namna ya posti zilizopo kwenye thread hii .
 
Kwani Tanzania kuna Corona? Vipi umepagawa leo au umeanza kuwa kibaraka wa mabeberu kuichafuwa nchi?
 
Ikiwa mheshimiwa raisi atakuwa amepatwa na jambo lolote baya binafsi ni jambo litakaloniuzunisha sana dua zangu na zenu watz wenzangu tumuombee muheshimiwa awe salama, hakuna haja ya kusherekea binadamu mwenzako anapopata janga
 
Jifunzeni kubakiza hakiba ya maneno - sasa comments zako tuziiteje, je, nikumsifia JPM, kumkejeri or both - wa kale walisema kama huna jambo jema la kumsema binadamu mwenzako ni busara ukakaa kimya, kukejeri mtu mgonjwa ni ukosefu wa UTU.
Si kila mtu unamfanyia UTU
 
Alipumzika zaidi ya mwezi mzima kwao chato mkamwaga maneno Watanzania bhana sijui Ni kwasababu ya kukosa kazi ama kweli ukikosa kazi ya halali shetani atakupatia kazi
 
Simba inapaswa wajisahihishe makosa yao kutokana na mechi ya Jana na Prison.

Tunategemea watakuwa wamejifunza mapungufu yao ili mechi ya marudiano na Almerekh ya Sudani tujihakikishie ushindi.

Ushindi ni lazima, lkn hatuwezi kupata ushindi bila maandalizi, mbinu na mikakati.
 
Naweza tu kukuambia wewe tulia tuendelee kumuombea He is in good health.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…