Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Kweli kila mmoja wetu katika nyanja mbali mbali ana kisasi juu ya huyu mtu, lakini Bado anabaki kua binadamu Kama sisi mwe familia na watu wanaomtegemea, Ni vizuzi tungeacha alipwe kadiri ya anavyostahili na sio kwa namna ya posti zilizopo kwenye thread hii .Watu Wana visasi kama vya waarabu, wanalipiza mpka kwa vitukuu