Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Tarifa kwa umma.

Leo hii raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanian dk John Joseph Pombe Magufuli, anatarajia kumwapisha katibu mkuu wa chama cha mapinzi (CCM) ndugu Halfrey Polepole.

Nimesoma sehemu. Magu yupo chattle wakuu😁😁😁 amejua kutuaibisha huyu mwamba. Sasa badala ya mitano iwe mikumi tena.😄😄😄 mmemsema sana wiki hili🤣🤣🤣
 
Wasiojulikana matumbo joto.Mmetumika kondomu jangwani hakuna kivuli.
 
Duh katibu mkuu wa CCM anaapishwa?
 
Tangu lini Katibu Mkuu wa CCM akaapishwa??
 
Rais ni Superman. Akiumwa chochote anaponyeshwa literally on the spot in milliseconds. He is just taking some time off kama JK alivyokuwa akichukua breaks kwenye 5-star resorts.
Mzee yupo likizo. Sijawahi kumsikia akichukua likizo, na hiyo ni haki yake ya kupumzika hasa baada ya kampeni kali ya kuhakikisha wana- CCM wote ( wenye viti wa mitaa, madiwani, wabunge na rais) wanashinda. Na kuteua mawaziri, na kupangua kidogo safu ya juu ya chama.

Sasa ni wakati muafaka wa kuchukua likizo, ndio maana hataki hata kujitokeza na kujibu tetesi. Subirini baada ya wiki 2 ataibuka kama wakati ule.

Kwa sasa muacheni Mama Samia Suluhu apige kazi kwa kukaimu kiti cha Urais kwa muda.
 
Kuna mtu kakuomba kazi humu?
 
kama ni mgonjwa inapaswa kumuombea sana na si vizuri kufurahia mwenzako akiumwa mungu huyarudisha kwako na familia yako ili uone machungu
 
Wasiojulikana matumbo joto.Mmetumika kondomu jangwani hakuna kivuli.
Msichokijua ni kwamba ,kama hizo habari za kuwepo kwa watu wasiojulikana ni mpango wa CCM,basi hata akiondoka huyu bado hamtaweza kuwagusa kwakua hawakua chini ya mtu mmoja bali ni system ambayo hata yule atakaechukua nafasi yake atazidi kuilinda.
 
kama ni mgonjwa inapaswa kumuombea sana na si vizuri kufurahia mwenzako akiumwa mungu huyarudisha kwako na familia yako ili uone machungu
Achana nao mkuu,hicho ndicho ambayo akili zao na mioyo yao inawaza,huku wakujinasibu kuwa ni watu wa amani na haki.
 

Mungu anasema hasikii maombi ya MNAFIKI hata ukeshe,ulie na kuomba Mungu hasikii ng'o!!! Wewe una laghai watu ati hakuna Corona Tanzania tumeishinda kwa maombi huku watu wanaendelea kupukutika....!!!Really? Biblia Inasema MUNGU HADHIHAKIWI!!!
You reap what you sow!!?
 
Sasa itakuwaje kwa Lissu ikiwa mheshimiwa ni mzima na yeye kesharipoti na kunakiliwa na vyombo vikuu vya habari kuwa yutaabani Nairobi kwa covid.
Itakuwa kuna mchezo amechezewa nao ni kupewa jukwaa bandia kusemea ili halafu ashushwe chini kabla ya wakati.Huu mchezo upo muda mrefu wanasiasa wa upinzani lazima waujue.
 
Asee hongera yake
 
Mwenye haki ataishi miaka mingi, utaishi hiyo miaka 100 mkuu na mm ninakuombea.

Huyu mdhalimu wanayemshabikia atateketea kama yateketeavyo makapi.
Utafanya buena maana anapenda kuombewa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…