Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Lisu anaendelea kujivua chupi mbele ya hadhara.
Magufuli huyo zake chato akimuapisha Katibu mkuu mpya wa CCM.

Nb. Lissu ana ndoto za kua Rais wa Tanzania lakini hata timiza ndoto zake.

Nawashauri watanzania wenzangu tumpuuze.

Katibu mkuu wa CCM siku hizi huwa anaapa?
 
mnachoshindwa kutambua kwa sasa sio kama anazushiwa tu na wapinzani hii ni habari kote duniani kwa sasa,tambua kuwa rais ni nembo ya nchi,rais ni wa watanzania wakiwamo wapinzani,Rais si wa wanaompigia makofi tu ni rais wetu sote kama watanzani, hivyo raia wana haki kujua yuko wapi.
 
Wameipoza sana na imefichwa kwa aibu. Utapeli upo kila mahali hata kwenye habari.
Na hii nayo mbona bado ina trend?
Someni hiyo.

Acheni UNOKOView attachment 1722799

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Gazeti la The Nation Kenya haliwezi kuwa ndo kipimo cha ukwell au uongo wa habari za Kuumwa au kutoku umwa kwa Rais. Kinachotakiwa hapa ni Serkali yenyewe ifanye vitu 2

(1)....Msemaji wa aidha Ikulu au Serikali ajitokeze mbele ya media kukanusha uvumi huu.
(2)....Magufuli mwenyewe ajitokeze aongee na Watz kuondoa sintofahamu hii.

Vingenevo Watz wataendelea kuamini kuwa kuna ukwell pampa na The Nation kukanusha. Rais siyo lazima akalazwe Kenya. Nchi ziko nyingi na Hospitals za kitaifa na Kimataifa ziko lukuki tu.
 

Huko UK nako wanasema hayohayo!

 
Kutoka kuwa chama cha siasa na kuwa kikundi cha kutafuta wagonjwa na vifo ili kuutangazia umma
 

huu uongo unawasaidia nini.???

Kikwete alipoumwa tulipewa taarifa akiwa kulekule hospital, na akatoa namba ya simu ya kwake binafsi ili waTZ wamtumie salamu za pole, na tukaoneshwa picha akiwa kitandani baada ya operation huku akijib mesej za wananchi wake., siku aliyorudi aliita vyombo vya habari palepale airport akaelezea kila kitu..

Mkapa alipoumwa tulipewa taarifa akiwa kulekule uswizi alipokuwa anatibiwa nyonga..

kwa JPM watu wapo kimya, hawatoi taarifa wala hawakanushi, mimi binafsi namuombea sana uhai ili akamilishe hii miradi, hivyo kama anaumwa (Mungu asimame upande wake na amponye)..

lakini kwanini hatuambiwi.? kwanini kila anayehoji anatukanwa.?? kwani kuumwa kwa binadamu ni tatzo .???
 

Tanzania kuna upuuzi na ujinga mwingi sana.
Kuna mijitu inamwona Magufuli kama "kimungu mtu" fulani hivi....!!!!!
Haugui, hasemwi,hakosolewi,hashauriki,haambiliki!!! Yeye ni kila kitu, yeye ndiye mwenye uweza wote na haogopi chochote, si COVID-19 wala kifo!! Ni Rais wa ajabu kuwahi tokea katika Sayari hii ya dunia........!!!!
 
MMEFELI TENA MTIHANI CHADEMA SUBIRINI BAADA YA MIAKA 1000 KUITAWALA TANZANIA
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…