Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Umezipanga vibaya hizo ep,
Ya kwanza umeambiwa ni
1 Ikulu
2 msenza
Hajasema but rumours zinadai ni
3 Nairibeeeee
4 Mumbai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ep ya 5 bado, huenda ni chato[emoji1787]
Amesema baada ya kutoka India akarudishwa fasta Ikulu then akapelekwa Mzena State Hosp. πŸ™‚
 
Magufuli anapendwa na wengi Africa.
Wale mnamtakia mabaya hata sjui mna maana gani.
The best president Tanzania imepata.
Mkate wa ubadhirifu, rushwa, ufisadi, na ukibaraka wa mabeberu aliowapokonya mdomoni mwao unawatesa sana.
 
Kakorona kasitutishe.....
Kama hutishiki na ka-Corona nenda uone makaburi ya marehemu wafuatao:
  1. Makamu #1 SMZ..Marehemu Maalimu Seifu Sharrif Hamad.
  2. KMK Ikulu Tanzania....Marehemu Kijazi
  3. Waziri Sheria 2020...Marehemu Mahiga.
  4. Mbunge wa Sumve...marehemu Ndasa.
  5. Mbunge Viti Maalumu...marehemu Lwakatare.
  6. +++++!!!
 
hata mimi tu nikiumwa kwa sasa siwezi kukimbilia kutibiwa kenya, maaana Tanzania kwa sasa hudumu za afya zinazo tolewa ni za kiwango cha hali ya juu kuliko hata kenya wala uganda.
Ktk Afrika mashariki na kati Tanzania ndio nchi pekee inayo ongoza kwa huduma za Afya bora.
Tanzania bado ni nchi ambayo haina maambukizi mengi ya korona.
 
Conversations kama hizi bado utakuwa kuna watu wanaLike na KuLove ,Kulikoni?
 
Acha siasa, Tz inaongoza kwa wingi wa majengo lakini inayoongoza kwa huduma bora ni Kenya
 
Mkate wa ubadhirifu, rushwa, ufisadi, na ukibaraka wa mabeberu aliowapokonya mdomoni mwao unawatesa sana.

Yaan we jamaa ni mpumbavu tena kwelikweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mpaka umri huo bado unaamini katika ujinga wa kulishwa huoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jamaa alivuna mataahira wenhi sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Conversations kama hizi bado utakuwa kuna watu wanaLike na KuLove ,Kulikoni?
Acha kupanic jombaa tena usiwahi kuja kuforce maujinga yako ufananie na mwingineπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kama inauma chomoa😁😁😁😁
 
Ondoa shaka tuombe Mungu atupatie uzima mimi na wewe,tushuhudie kwa pamoja
Ukitaka kujua unaishi vizuri na watu au vibaya basi patwa na shida
Sipingi mawazo yako mkuu,ila tambua kwamba mioyo ya watu ni vichaka, hata wewe kwa nafasi yako ndogo huko uliko,haupendwi na wote na kuna baadhi wanatamani ufe hata leo, bila kujali umewatendea wema au ubaya kwa nyakati tofauti za maisha yako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…