MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Nilisikia tu kwa mbaaali kumbe ilikuwa uzushi!!It’s impossible
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisikia tu kwa mbaaali kumbe ilikuwa uzushi!!It’s impossible
waliomdharau Covid wote amewachapa nao, alianza NkurinzizahNilisikia tu kwa mbaaali kumbe ilikuwa uzushi!!
Mzee Mwenzangu Mwanakijiji achana na TISS waliosema imemalizwa na haijui kudeal na wanaoenda kinyuma na misingi ya nchi .
YAMETIMIA SOOOOOOOOOOOOOOOOO SAD 🙁
Kuna aliyebaki huko TISS? karma inafanya mambo yake hatariMzee Mwenzangu Mwanakijiji achana na TISS waliosema imemalizwa na haijui kudeal na wanaoenda kinyuma na misingi ya nchi .
YAMETIMIA SOOOOOOOOOOOOOOOOO SAD 🙁
Unauza wewe na nani?😂😂.....Kwamba mnaota kuwa Rais ajae atatoka kwenye hako kagenge kenu? Hata akifa huyu nyinyi kutawala nchi subirini miaka 100000000 ijayo.jiwe ndo bai bai mizimga iandaliwe then raus atayekuja tunauza ndege zote alizonunua futilia mbali kabisa
kumbe unajua kama kila mtu atakufa, hata wew pia utakufa sio wao tuHata Ben Saanane, mama Mbilinyi, mama Kabendera and so on walikufa.
kumbe unajua kama kila mtu atakufa, hata wew pia utakufa sio wao tu
wadogo kivip. mi nashangaa kuona watu wakiseherkea mtu akipa matatizo. waafrika ndio maana hawaendelei kwa roho mbaya, Libya mfano mzuri sanaSasahivi mnakuwa wadogo sana.
Kilichofanya stori-uongo huu wa kutungwa na kubumba uhamishiwe India fasta ni kwa vile wazabizabina hawa hawakugundua mapema Nairobi would be very unlikely place kuvumisha uzushi wao, na pia ni rahisi vyombo husika kuwaumbua wafitini hawa kwa kusema ukweli wa mambo.Then India ikabaki kuwa option yao bcz ni almost impossible kudabo check haraka.Mkuu nadhani sababu ya kumtoa nairobi na kumkimbiza kule kwa ma-kanjibhai ni kwamba waliona akiendelea kubaki kenya habari zake nyingi zitakuwa zikivuja na wao (system) hawalitaki hilo!!
Swala la msingi ni kujiuliza kwanini watu wafurahie matatizo ya mtu? Huyu mtu aliwakwaza wapi?wadogo kivip. mi nashangaa kuona watu wakiseherkea mtu akipa matatizo. waafrika ndio maana hawaendelei kwa roho mbaya, Libya mfano mzuri sana
Nimeanza kuyaamini maneno ya DC Ole Sabaya: ^Siku maadui zangu wakiniunga mkono na kunichekelea na kunisifu na kunitahani na kunipongeza, basi hapo nitajua kabisa safari yangu ya kisiasa imefika mwisho.^Swala la msingi ni kujiuliza kwanini watu wafurahie matatizo ya mtu? Huyu mtu aliwakwaza wapi?
Yaamini tu maneno ya kibaraka SabayaNimeanza kuyaamini maneno ya DC Ole Sabaya: ^Siku maadui zangu wakiniunga mkono na kunichekelea na kunisifu na kunitahani na kunipongeza, basi hapo nitajua kabisa safari yangu ya kisiasa imefika mwisho.^
Naona siku mbili tatu nne tano hizi unarusha komenti nanenane. Be careful, next week usijepata acute depression kwa kile ambacho hutaamini macho yako 🙂Yaamini tu maneno ya kibaraka Sabaya
wewe ndio umekuja kutuzudishia taharuki. Yametimia yapi?Mzee Mwenzangu Mwanakijiji achana na TISS waliosema imemalizwa na haijui kudeal na wanaoenda kinyuma na misingi ya nchi .
YAMETIMIA SOOOOOOOOOOOOOOOOO SAD 🙁